We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

Ni pigo kubwa sana kwa chawa, kimetokea wasichotarajia.
 
Acha kufikiria ujingaujinga. Tungekuagiza udai uhuru ungeweza wewe?Kifordoko kabisa!
 
Maandamano kama ulaya yana utulivu ni hatua kubwa. sasa tuone usikivu wa serikali kwa matamanio ya wananchi.
 
Kumbe kule kuzunguzunguka maubalozini likuwa kwa ajili ya kuwaombea vibali wanae washiriki? au

Manake wenyewe wasingetaka kuhusishwa na Uchochezi au Kuingilia mchakato wa sera na sheria Bungeni. Eniweyi
Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe
Hivi hawakushikana mikono kuonyesha solidarity?

Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front
 

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1750232019697598660?t=kD8AzhHpaGH2Lz614xzWUw&s=19
 
Akili kubwa. Na ndivyo ilivyo!
 
Sisi tunajua yaliyojiri hadi ccm samia na muliro, wakaingiza mkia matakoni.
Mwenyekiti alicheza kama pele! Alianzia Ubalozi UN kutoa taarifa za maandamano wakamuita bi machomlegezo akajirembulia mimacho tu. Kwenye maandamano vile vile kamera za UN zilikuwa live!
Sasa ni kusuka ama kunyoa zimwi limetoka kwenye chupa! Saa100 na ulaghai wake kwishney!
 
Umeamua kubadili gia angani sio?

Umesahau kuwa juzi tu muda mfupi kabla ya tukio ulisema CHADEMA wakiandamana basi tukuite mbwa? Au siyo wewe bwana?

Mimi sitashangaa mkisema kuwa maandamano hayo yaliratibiwa na UN ndio maana yakaishia kwenye ofisi zao...

Na hii ni kwa sababu ya ujinga wa Watangnyika wachache dizaini yako wasiotambua haki na mamlaka yao dhidi ya serikali walioiweka wenyewe madarakani wakidhani kila kitu kinaweza kufanyika Kwa hisani ya CCM..!!
 
2020 mlisema hivyo hivyo....unaumia ukiwa wapi ndugu?
 
Sawa kabisa vipi na kuhusu kufanya usafi kwa wanajeshi na polisi ,usafi ambao uliratibiwa na Amiri jeshi mkuu wa mkoa
 
Duuuh maandamano yakiwa na vurugu chadema wameandaa,yakiwa na utulivu yameandaliwa na ccm,vyama vya upinzan no vibaraka tu...aisee
 
Huyu mnaemwambia kavurugwa yupo sahihi ila inachukua muda mrefu sana kuamini hilo au kamwe msiamini/msigundue kabisa mpaka mnakufa
Haisaidii kitu kama taifa acha tushikamane
 
Wewe ni mwana ccm usitufanye wajinga tuamini hizi propagada zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…