we ndo hujajitambua na hujui unachofanya acha kuwapotosha vijana wenzako kama una shahada ya uhandishi endelea kuilalia ukisubiri ajira, mim ndo nimeipost na nitaendelela kulipigania hili hadi mwisho vijana fanyeni chochote ambacho ni halali kitakachowafanya myafikie malengo yenu piganeni kwa kila namna achaneni na hawa wachache wanaowakatisha tamaa, yeye ni kijana wa dot.com nishamstukia, anarelax na degree yake akisubiri ajira bora, we unadhani maelfu ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka wataenda wapi kama hawatafunguka kifikra na kujua kuwa wanaweza kupambana ili waweze kupunguza makali ya hali ngumu ya maisha? lipi bora, kuepuka kuwa cheap ukiwa na degree yako mkononi na maisha magumu ukisaka soli kusubiri ajira ambayo hujui inakuja lini? au kupambana kwa kutafuta chochote cha kufanya kwa kuiweka degree chini kwanza ili ukusanyekusanye angalao upate kamtaji katakapokufanya uwe comfortable katika process za kusubiri ajira? narudia tena vijana wenzangu, mimi nilijitosa na elimu yangu ya form four kuwa housegirl na leo hii naweza sema nipo katikati si tajiri wala si masikini nimeshajitambua namimi nina degree yangu mkononi kama nyie, sina presha katika kutafuta ajira wapendwa wangu maana nina kitu ambacho nafanya, na hili nimefanikiwa kutokana na kutochagua kazi,.NITALIPIGANIA HILI HADI MWISHO,amkeni vijana wenzangu msilale tafuteni shughuli za kufanya zilizo halali,waacheni hawa wachache kama huyu muarubaini anayewapotosha eti nyie siyo cheap, imeniuma sana kuona kumbe bado tuna wachache ambao hawajafunguka kifikra kama huyu... all the best,
amelinechao@gmail.com