Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
dah unachokisema nikweli mkuu ila inaonekana hujawahi kukosa hata mia mfukoni aiseee
Mie kiukweli huyu dada sijui kaka simuelewi juzi msela wangu amemuomba ushauri nini afanye kupitia gmail.com akakimbia akaishia kumwambia aongeze mtaji wa millioni 3 au 5 wkt mtu kamwambia anamilioni moja ss afu unasema mtu asisubiri ajira wakati hata kimawazo huwezi kumsaidia pia kumbuka sio wote humu tunaweza biashara wengine we have been in school for more than 16 year just imagine mtu una masters afu dada anataka uanze kuuza karanga kweli inaleta sense si utaishia kuvuta bangi na kuwa mlevi
If you want to be a hero fight from zero. If you think you are a hero while you are not then you are more than an idiot!!! Huyo jamaa hana kitu ana kadigrii kake kamoja hana kazi anaona fedheha kufanya kazi nyingine akiziita za wasiosoma?? Hawa ndo conservative wasotaka kubadilika kuendana na mfumo wa maisha duniani!!wale wanaoenda kusoma nje ya nchi hawajaona vijana wenye digrii zaidi ya moja wakifanya part time ya kuosha vyombo pale Uingereza?????? Amka awe usinziaye!!!!
Na kwa taarifa yako, hao jamaa wasio na kazi za shahada ndio wanaomiliki nyumba zao wakati wewe na shahada yako unaendelea kupanga sinza, msasani kijitonyama n.k huku ukiendelea kutafuta hiyo kazi ya shahada.
Familia zawengi wetu hapa tunakua na hatua tatu, kwanza kabisa kuna suala la wazazi, linakuangalia wewe, wadogo zako wanakuangalia wewe na baada ya hapo wewe mwenyewe na familia yako. Kwa changamoto za kukabiliana na hayo mambo mtu anaona ni afadhali apate kazi ya kumpatia chochote ili kukidhi baadhi ya mambo yanayomsibu huku akiwa anaangalia utaratibu wa kazi nyingine.
jazba haikusaidii, jenga hoja jamii ikuelewe. Sio kila mweny degree bas ameelimika. Weng elimu zao zimeshndwa kuwakomboa. Kukubali kufanya kaz yoyote ni dalili ya kukata tamaa ya maisha, kulazmisha riziki aloipanga mungu ije kwa muda unaotaka wewe na baya zaid kutotambua thaman ya elimu yake kusabisha afanye kaz za wasio soma. Hvyo wasiosoma nao wanakosa pakwenda. Taarifa bila ya maarifa ni kaz bure.
take five
Umeanzisha mada alafu unasupport pumba! hata mungu alisema jisaidie na mimi nitakusaidia sasa huyo uliompa tano anatakakuwasadikisha watu wakeshe kwa ibada ili mungu awaone! Take the reality at hand and deal with the situation!
hivi kazi za kuhudumia bar ni ya kujidhalilisha? kuna wengine hawana hata hicho kinafasi cha kufuga kuku kuanzia eneo lenyewe na hata mtaji wenyewe, nipate kazi ya bar pale kilimanjaro hotel niache? kisa eti nina degree? haaa mnanitania tena naenda sana hapo maana najua nitawapata wateja walioko kwenye system na mwisho wa siku nitatoka, ajira zimekuwa ngumu sana siku hizi,
hivi kazi za kuhudumia bar ni ya kujidhalilisha? kuna wengine hawana hata hicho kinafasi cha kufuga kuku kuanzia eneo lenyewe na hata mtaji wenyewe, nipate kazi ya bar pale kilimanjaro hotel niache? kisa eti nina degree? haaa mnanitania tena naenda sana hapo maana najua nitawapata wateja walioko kwenye system na mwisho wa siku nitatoka, ajira zimekuwa ngumu sana siku hizi,
Wewe lutambi kama wewe unaona ni msomi na unaithamini elimu yako, na una uhakika na maisha kaa kimya, yaan hukupaswa hata kusema chochote, kwani umeambiw hizo ajira mbadala ni za kudumu? zitawasaidia kupunguza ukali wa hali ngumu ya maisha, mfano unakuta mtu anakaa tu hana chochote anachofanya na ana degree mkononi, na mimi nahitaji mtu wa kusimamia store yangu nimpe hata laki na nusu,. ipo bora atulie tu home akisubiri hiyo ajira isiyojulikana inakuja lini kwa kutaabika au, akubali kufanya akipata angalao fedha hiyo? tena usirudie kusema tena eti wasiosoma na waliosoma we unalijua tabaka la wasio soma na waliosoma?na unaongelea kiwango gani cha elimu ndo mtu awe msomi? na kiwango gani awe sio msomi? unayajua maisha ya wasiosoma kwa asilimia ngapi wewe? sasa kwa taarifa yako wapo ambao unawaita wasiosoma lakini maisha yao hata kama una degree 4 huwez kuwafikia leo wala kesho, usipende kutofautisha watu kwa elimu zao, bali watofautishe kwa utashi na maarifa, EDUCATION IS NOT A CERTIFICATE BROTHER, EDUCATION IS SKILLS YOU HAVE and how are u able to utilizefully those skills.
hivi unajua tofauti kati ya hotel vs bar. Wale waleeee
hivi kazi za kuhudumia bar ni ya kujidhalilisha? kuna wengine hawana hata hicho kinafasi cha kufuga kuku kuanzia eneo lenyewe na hata mtaji wenyewe, nipate kazi ya bar pale kilimanjaro hotel niache? kisa eti nina degree? haaa mnanitania tena naenda sana hapo maana najua nitawapata wateja walioko kwenye system na mwisho wa siku nitatoka, ajira zimekuwa ngumu sana siku hizi,
hivi unajua tofauti kati ya hotel vs bar. Wale waleeee
Binti unataka kulazimisha hoja isiyo na mashiko. Ulisema ulishawah kufanya kaz za ndan, mbona baada ya kuhitimu hukwenda kuifanya tena. Unataka kuwapotosha wenzako wawe wahudumu bar ili wawe machangudoa. Ushindwe
nimeanzisha mada hii baada kuona thread moja ikilamu mtu kukataa kaz akiwa hana kazi. Si kweli wala sahihi kwamba kama mtu hana kaz basi ajishushe dhamani yake na kufanya kaz ambao anaona fika haiko katika level yake. Vijana lazma tujue dhamani yetu na tukatae kunyonywa kwa kupewa kaz ambazo haziendani na ujira in the name of unemployment. Tuzikaae tujizatiti hata kuungana na kujiari wenyewe. Mtu ana shahada ya uhandisi unamwambia kawe bar made kisa hamna ajira, bora mara mia ukafuga kuku wako wa mayai ukauuza