We binti endelea kuchagua chagua wachumba jua likichwea tusisumbuane

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,512
Wanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,

Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa zake, nyumba na magari, mara sitaki kuolewa na bodaboda maana wanaongoza kwa kuchomoa betry"

Dada yangu uliye selective namna iyo utaishia kuhudhuria harusi za rafiki zako, mwisho wa siku utaanza kung'ang'ania magetoni kwa mbaharia pale utakapogundua umri umekutupa mkono ..... Ohooooo!!!!!!!!!!!

[Raha ya mali mchume pamoja siyo uzikute utanyanyasika]

Tafuta mume mapema ulee watoto na siyo wajukuu

Sauti inatosha au niunganishe kwenye subwoofer ili nisikike fresh?

69474663_938559753174833_7444867105108787200_n.jpg

Povu ruksa ntarudi kesho kufua
 
Wanaringa Wanabikra??
Yaani mwanamke betri imechomolewa aje anilipukie mimi.
Mwenye bikra acha aringe. Hata afikishe arobaini hana shida lakini Mwanamke kachakazwa. Kaangusha Gear box ajipitishe na tumataakoo twake. Huyo akiringa namuona kama Mzoga tuu.
Siku zote Sauti yangu inatosha mpaka kwa viziwi sina haja ya kuongeza.
 
W
Wanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,

Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa zake, nyumba na magari, mara sitaki kuolewa na bodaboda maana wanaongoza kwa kuchomoa betry"

Dada yangu uliye selective namna iyo utaishia kuhudhuria harusi za rafiki zako, mwisho wa siku utaanza kung'ang'ania magetoni kwa mbaharia pale utakapogundua umri umekutupa mkono ..... Ohooooo!!!!!!!!!!!

[Raha ya mali mchume pamoja siyo uzikute utanyanyasika]

Tafuta mume mapema ulee watoto na siyo wajukuu

Sauti inatosha au niunganishe kwenye subwoofer ili nisikike fresh?

View attachment 1182958

Povu ruksa ntarudi kesho kufua
Tafuta hela hatutakutenga tutakuchagua nawewe..😂
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom