We binti endelea kuchagua chagua wachumba jua likichwea tusisumbuane

Mm niko kamili gado wala sijawai kutamani ndoa ila ikitokea kuna mwanaume wa junipa sababu ya kuolewa nayeye basi ntaolewa na mda ukiisha ni nafanya yangu mengine uku nikifurahia miaka 10 mbele ya kuchelewa kuzeeka mana ntakua mwili uko feat c unajua watu wasio kwenye ndoa wana mda mchache wa ujana??
na kuishi pia so nisipoolewa ni advantage kuliko nikiolewa.
nikiolewa ntaishia kufa mapema mana najua kupenda.

Mchawi pekee ndio hatamani kuolewa kutokana na masharti.

Mwanamke aliyekamiliza na timamu kiakili lazima atamani ndoa. Halikadhalika na mwanaume.

Usipoolewa utakuwa na moja ya tabia zifuatazo;
1. Mchawi.
Upweke utakufanya ujifunze uchawi. Uchawi ni moja ya Mbinu ya kuondoa upweke. Utaloga ndugu zako hasa wakike. Na mawifi zako.

Wanawake wenye umri wa 35+ wasioolewa hujiingiza kwenye uchawi au ushirikina.

2. Malaya.
Utazaa kama Mbwa. Mbwa huzaa hovyo hovyo. Huzaa bila ndoa. Utawezaje kuzaa bila kuwa ndani ya ndoa? Huo huitwa umalaya na maisha ya mbwa.

Pia utakuwa unaiba waume za watu.

3. Utakuwa na Matatizo ya kisaikolojia.
Kuna tofauti baina ya mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa Kisaikolojia. Ambaye hajaolewa huwa na matatizo ya kiakili.
 
Walioko ndoani ndo wana matatizo ya akili tena wamalaya wakutupwa mana wameshapata ndoa ila bado wanafanya uasherati..sasa kua na ndoa iliyokufa si bora uzae utulie uendelee kutengeneza future ya mwanao au wanao kuliko kukaa kwenye dead marriage..nawaonea huruma sana wanatamani watoke ila hawawezi wanaishia kutumika nje ya ndoa zao na wengine kuhama kabisa wanakimbia family.

DAH SIJUI NTAISHIJE KAMA NIKIOLEWA DOUGHTER.
 
Moja ya chanzo kikuu cha umasikini nchini Tanzania ni pamoja na Watoto kulelewa na mzazi mmoja sijui kama unajua hili?
 
Tafuta wenye experience ya maisha nafikiri mabinti waliofika miaka 25+ ni bora kuliko 18 mpaka 24 ambao mapenzi yao ya kuigiza igiza
 
Wanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,

Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa zake, nyumba na magari, mara sitaki kuolewa na bodaboda maana wanaongoza kwa kuchomoa betry"

Dada yangu uliye selective namna iyo utaishia kuhudhuria harusi za rafiki zako, mwisho wa siku utaanza kung'ang'ania magetoni kwa mbaharia pale utakapogundua umri umekutupa mkono ..... Ohooooo!!!!!!!!!!!

[Raha ya mali mchume pamoja siyo uzikute utanyanyasika]

Tafuta mume mapema ulee watoto na siyo wajukuu

Sauti inatosha au niunganishe kwenye subwoofer ili nisikike fresh?

View attachment 1182958

Povu ruksa ntarudi kesho kufua
wewe jeh? upande wako vipi? utakuta na wewe unatatizo hilo! unachagua mabinti wenye makalio na sura nzuri, single mothers na majanga hutaki! acha kulalamika!
 
Wanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,

Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa zake, nyumba na magari, mara sitaki kuolewa na bodaboda maana wanaongoza kwa kuchomoa betry"

Dada yangu uliye selective namna iyo utaishia kuhudhuria harusi za rafiki zako, mwisho wa siku utaanza kung'ang'ania magetoni kwa mbaharia pale utakapogundua umri umekutupa mkono ..... Ohooooo!!!!!!!!!!!

[Raha ya mali mchume pamoja siyo uzikute utanyanyasika]

Tafuta mume mapema ulee watoto na siyo wajukuu

Sauti inatosha au niunganishe kwenye subwoofer ili nisikike fresh?

View attachment 1182958

Povu ruksa ntarudi kesho kufua

Kimsingi, kila MTU ana haki ya kuchagua mtu/mwenza ambaye anaona atamfaa au amekidhi vigezo ambavyo ndio hasa hitaji la moyo wake.Awe mwanamke au mwanaume, kila mtu ana vigezo vyake ktk kumtafuta yule ambaye anatarajia kuwa atakuwa mwenza wake kwenye maisha yake.Kumbuka kuwa "ndege wanaofanana huruka pamoja",
Kitu cha msingi zaidi kuzingatia ni kuhakikisha kuwa kila MTU anayetafuta mwenza ahakikishe anajiwekea vigezo au sifa " zinazofaa, sifa sahihi ambazo haziko bias kwa namna yoyote ile, sifa/vigezo vyenye nia njema ya kumpata mke au mume mwema atakayekuwa bora ktk familia na jamii yote kwa ujumla".
Wanaotafuta wenza wa kuwa nao ktk maisha daima wajiepushe sana na mtego mbaya wa kutumia vigezo visivyofaa ambavyo havilengi ktk kumpata mwenza aliye bora wa kuishi naye ktk ndoa bora yenye wanandoa wenye maisha ya furaha , amani na upendo.
 
Wanawake vichwa maji sana, wanaojiona ni wazuri wa sura huwa wana kasumba ya kuchagua wanaume wa kuolewa nao,

Mfano utakuta binti anasema "Mi sitaki kuolewa na mwanaume mfupi, mara nataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa zake, nyumba na magari, mara sitaki kuolewa na bodaboda maana wanaongoza kwa kuchomoa betry"

Dada yangu uliye selective namna iyo utaishia kuhudhuria harusi za rafiki zako, mwisho wa siku utaanza kung'ang'ania magetoni kwa mbaharia pale utakapogundua umri umekutupa mkono ..... Ohooooo!!!!!!!!!!!

[Raha ya mali mchume pamoja siyo uzikute utanyanyasika]

Tafuta mume mapema ulee watoto na siyo wajukuu

Sauti inatosha au niunganishe kwenye subwoofer ili nisikike fresh?

View attachment 1182958

Povu ruksa ntarudi kesho kufua
Hivi kumepambazuka au
 
Back
Top Bottom