We binti endelea kuchagua chagua wachumba jua likichwea tusisumbuane

Mm niko kamili gado wala sijawai kutamani ndoa ila ikitokea kuna mwanaume wa junipa sababu ya kuolewa nayeye basi ntaolewa na mda ukiisha ni nafanya yangu mengine uku nikifurahia miaka 10 mbele ya kuchelewa kuzeeka mana ntakua mwili uko feat c unajua watu wasio kwenye ndoa wana mda mchache wa ujana??
na kuishi pia so nisipoolewa ni advantage kuliko nikiolewa.
nikiolewa ntaishia kufa mapema mana najua kupenda.
We jizungusheeeee jua lianze kuzama tuanze kusumbuana jukwaa la LOVE CONNECT
 
Mm niko kamili gado wala sijawai kutamani ndoa ila ikitokea kuna mwanaume wa junipa sababu ya kuolewa nayeye basi ntaolewa na mda ukiisha ni nafanya yangu mengine uku nikifurahia miaka 10 mbele ya kuchelewa kuzeeka mana ntakua mwili uko feat c unajua watu wasio kwenye ndoa wana mda mchache wa ujana??
na kuishi pia so nisipoolewa ni advantage kuliko nikiolewa.
nikiolewa ntaishia kufa mapema mana najua kupenda.
Kula ujana bhana
 
Haka ka tangazo nimekapenda
Mm niko kamili gado wala sijawai kutamani ndoa ila ikitokea kuna mwanaume wa junipa sababu ya kuolewa nayeye basi ntaolewa na mda ukiisha ni nafanya yangu mengine uku nikifurahia miaka 10 mbele ya kuchelewa kuzeeka mana ntakua mwili uko feat c unajua watu wasio kwenye ndoa wana mda mchache wa ujana??
na kuishi pia so nisipoolewa ni advantage kuliko nikiolewa.
nikiolewa ntaishia kufa mapema mana najua kupenda.
 
Tusiwalaumu sana wanawake wanaochaguachagua labda tuwaombe tu wapunguze kuchagua. Yaani wapunguze vigezo kidogo.

Tusiwalaumu sana kwa sababu hata sisi tunapenda sana kuchagua wanawake wazuriwazuri wenye matako yao makubwa na malaini. Na wenyewe hivo hivo wanachagua wanapenda wanaume warefu mahandsome wenye hela magari na majumba.

Tujaribu kuvaa viatu vyao jamani. Fikiria ungekua mwanamke mzuri wa sura, una chura mkubwa na laini mno afu anakuja mwanaume yupo ovyo ovyo kimuonekano hata hela hana anataka akuoe. Ungekubali? hii sio fair kabisa. Hebu tuzingatie kanuni ya dhahabu: wanaume tusipende kuwatendea wanawake kitu ambacho sisi wenyewe hatungependa kutendewa laiti tungekua wanawake.
 
Back
Top Bottom