Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,653
We are not yet a nation just a group of people living together, until we become one in spirit and purpose then we can call ourselves a nation then we will be invicible and the nations will fear us, we must struggle together to build this country knowing that our fate depend on this land, we have no other land than this! our principal is justice among ourselves.
Huu ufisadi hautatupeleka sehemu kama taifa, tutapigana tuu! ubinafsi unaondoa maana halisi ya watu kuishi kama taifa.
Kama tumeamua kuwa taifa sisi ni ndugu, hatuna haja ya kuwa maadui ndani ya nchi yetu watu wachache waliopewa mamlaka ya kuongoza watu na kisha kuwaibia huu ni usaliti.
Ni usaliti kama uleule mabao mtu angehukumiwa kwa kumpindua rais.