ndugu zangu katika ujenzi wa barabara ya Morogoro kwa mradi wa DART kuna vibao vyenye maandishi 'we are building for you'. kwa mtazamo wangu tafsiri yake inakuja vibaya. kwanza ni maneno ya kiingereza ambayo hayataeleweka kwa watanzania wengi, pili inamaanisha kuwa watz hatufahamu kinachofanyika hapo hadi tuambiwe 'we are building for you',
sijui wenzangu mnaloinaje hili?