NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Mar 20, 2014 Thread starter #61 bysange said: Ngoja ale maana huu ni wakati wake...sijui nimekomenti au la! Click to expand... Tena umecomment mara mbili mkuu.
bysange said: Ngoja ale maana huu ni wakati wake...sijui nimekomenti au la! Click to expand... Tena umecomment mara mbili mkuu.
H habi Senior Member Joined Feb 21, 2011 Posts 125 Reaction score 15 Mar 20, 2014 #62 mjepo said: Sijaona hata chembe. Click to expand... akitoka bongo aende hivyo hivyo kwa mzee M 7
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Mar 20, 2014 #63 Excel said: dah... wakati dodoma wakishindia ubuyu... mkuu wa kaya yuko abroad anapiga soga Click to expand... Mkuu hapo ni ikulu,huyo mgeni amekuja jana Tanzania.
Excel said: dah... wakati dodoma wakishindia ubuyu... mkuu wa kaya yuko abroad anapiga soga Click to expand... Mkuu hapo ni ikulu,huyo mgeni amekuja jana Tanzania.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 21,854 Reaction score 26,093 Mar 20, 2014 #64 Watu wa jf! Ni sugu post owner dont want comment but....!kumbe na mimi nimesha comment...without knowing..agrii!?
Watu wa jf! Ni sugu post owner dont want comment but....!kumbe na mimi nimesha comment...without knowing..agrii!?
mwanamajimbi JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 601 Reaction score 152 Mar 20, 2014 #65 mama riz..iki njoo uone!!
ikomaland Member Joined Jan 13, 2014 Posts 36 Reaction score 4 Mar 20, 2014 #66 Nimeshacomment maskini
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 21, 2014 #67 NAPITA said: View attachment 146003 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree. Click to expand... Kweli fahari ya macho haifilisi duka!
NAPITA said: View attachment 146003 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree. Click to expand... Kweli fahari ya macho haifilisi duka!
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Mar 21, 2014 Thread starter #68 Ngekewa said: Kweli fahari ya macho haifilisi duka! Click to expand... Ilo nalo Neno!!!!
M mkagulu original JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 703 Reaction score 172 Mar 21, 2014 #69 mbona mnacomment?
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 Mar 21, 2014 #70 Hapo bado hajaweka pozi la kukunja nne
Mdoe Snr Senior Member Joined Mar 5, 2014 Posts 115 Reaction score 30 Mar 21, 2014 #71 kwani kuna nn hapo?
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Mar 21, 2014 #72 mimi sijakoment!
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,310 Mar 21, 2014 #73 NAPITA said: Vipi tena?.... ndo wewe ninaekuona hapo kwenye picha chini ya ID yako....... Click to expand... Kuna kitu kimetuna hapo karbu na mkono wa mkuu najiuliza ni nn???? Exctly ndo mimi tinna cute Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NAPITA said: Vipi tena?.... ndo wewe ninaekuona hapo kwenye picha chini ya ID yako....... Click to expand... Kuna kitu kimetuna hapo karbu na mkono wa mkuu najiuliza ni nn???? Exctly ndo mimi tinna cute
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Mar 21, 2014 #74 NAPITA said: Hiyo comment ya kimoyomoyo tungependa kuiona ngoja tuone kama tunaweza kutengua kanuni.. Click to expand... Mtoa mada akikubali tutayatoa ya moyoni.... Tuwe na subira!
NAPITA said: Hiyo comment ya kimoyomoyo tungependa kuiona ngoja tuone kama tunaweza kutengua kanuni.. Click to expand... Mtoa mada akikubali tutayatoa ya moyoni.... Tuwe na subira!
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Mar 21, 2014 Thread starter #75 tinna cute said: Kuna kitu kimetuna hapo karbu na mkono wa mkuu najiuliza ni nn???? Exctly ndo mimi tinna cute Click to expand... Ngoja nielekee Dodoma mie sitaki ushahidi.......
tinna cute said: Kuna kitu kimetuna hapo karbu na mkono wa mkuu najiuliza ni nn???? Exctly ndo mimi tinna cute Click to expand... Ngoja nielekee Dodoma mie sitaki ushahidi.......
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Mar 21, 2014 Thread starter #76 charminglady said: Mtoa mada akikubali tutayatoa ya moyoni.... Tuwe na subira! Click to expand... Baada ya Hotuba jioni ruksa kuyatoa ya Moyoni.
charminglady said: Mtoa mada akikubali tutayatoa ya moyoni.... Tuwe na subira! Click to expand... Baada ya Hotuba jioni ruksa kuyatoa ya Moyoni.
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,310 Mar 21, 2014 #77 NAPITA said: Ngoja nielekee Dodoma mie sitaki ushahidi....... Click to expand... Ukirudi niletee zabibu
NAPITA said: Ngoja nielekee Dodoma mie sitaki ushahidi....... Click to expand... Ukirudi niletee zabibu
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Mar 21, 2014 #78 Crocodiletooth said: Watu wa jf! Ni sugu post owner dont want comment but....!kumbe na mimi nimesha comment...without knowing..agrii!? Click to expand... ....umeonaee mkuu,yaani watu wanachapa comment bila kujali,jamani tusikoment hata kama kapicha hamkapendi...
Crocodiletooth said: Watu wa jf! Ni sugu post owner dont want comment but....!kumbe na mimi nimesha comment...without knowing..agrii!? Click to expand... ....umeonaee mkuu,yaani watu wanachapa comment bila kujali,jamani tusikoment hata kama kapicha hamkapendi...
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Mar 21, 2014 #79 mnyepe said: Hapo bado hajaweka pozi la kukunja nne Click to expand... mmmh unataka kuona nini ?
M magd lumola JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 218 Reaction score 17 Mar 21, 2014 #80 Mmmmmhhhhhhhhh