Kujifunza unatakiwa ukubali kwamba dunia inakwenda kwa misingi fulani, ambayo ukiifuata utaepuka hili na kupata lile. Misingi ya kimantiki.Mara nyingi, mtu anazaliwa na tabia fulani ambazo ni asili yake. Lakini anavyozidi kukua, anaanza kubadilika taratibu kulingana na mazingira, watu wanaomzunguka, au matokeo ya mambo anayokutana nayo.
Ni kwanini maisha ya baadae yanatubadilisha wengi? Mtu anazaliwa mwenye upendo na huruma ila mahusiano na ndoa au watu wabaya wanamkomaza anakuwa na roho ngumu hata kuua anaweza!
Kwa mfano, mtu anaweza asiwe mtu wa mazoezi kabisa. Lakini kwa sababu anataka kuvutia kundi fulani la watu, anaamua kuanza kufanya mazoezi ili kujenga mwili au kuonekana mwenye lifestyle fulani.
Kwanini watu wanashindwa kuwa na hobbies zao wenyewe? Kwa nini mpaka waige maisha ili waonekane wanapenda kusoma, kusikiliza muziki, au kuangalia michezo?
Matokeo yake, unakuta binti au kijana anapofikia kiwango fulani, ili kufit kwenye jamii aliyopo, anaanza kuiga tabia mpya na za ajabu, mwishowe anaharibu maisha yake.
Hapo ndipo ninapojiuliza, hatuwezi kujifunza bila kupitia matokeo magumu? Kwa mfano, mtu anaweza kuugua au kukutana na changamoto fulani, ndipo tunapoanza kusikia ushauri kila kona ya mtandao: "Jamani, jitahidini kufanya 1, 2, 3, mnaona kilichotokea sehemu fulani."
Leo nimeona mada kuhusu trollers, wale wanaobully wenzao mitandaoni ikapelekea binti wa south kujiua ndioo ikageuka mjadala ili iwe funzo lakini nina uhakika hii sio mara ya kwanza, hii changamoto iko moka kwa wenzetu lakini kidogo wao wanabebana baadhi ya matatizo ya kujitakia yanapungua kwa asilimia fulani, ukilinganisha na hali yetu sisi! Tumeathirika na malezi ya utotoni au?
Ni kama taharuki iliyotokea wiki jana kuhusu wale mabinti waliomaliza shule. Ghafla kila mtu anatoa ushauri kuhusu malezi. Utadhani ni jambo geni kufanya malezi ili watoto wawe na tabia njema bila kusubiri matokeo mabaya ndio tujifunze?
Je, ni lazima tujifunze kwa njia ngumu kila wakati?
Leo nipo kabagho liquor store sinza mapambanoWewe tena! Unajiunga lini tukukaribishe😆
inawezekana tena vizuri tu wahenga walisema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.Hauwezekani kabisa kujifunza bila kusukumwa na matokeo fulani?
Kweli kabisa umesema pointi ambayo iko ndani yake, ila umeifanya kama ni tatizo la imani tu, kumbe ni kubwa zaidi ya hapo.Kujifunza unatakiwa ukubali kwamba dunia inakwenda kwa misingi fulani, ambayo ukiifuata utaepuka hili na kuoata lile. Misingi ya kimantiki.
Waafrika wengi bado wanaamini katika kuishi kwa neema na kudra za Mungu, uchawi, riziki. Wanaroga mpaka kwenye mpira bado.
Watu wanaoenda shirtcuts sana.
Sasa ukiwa katika imani hizo, kujifunza ni vigumu. Ujifunze ili iweje wakati unaweza kuroga tu, unaweza kutoa rushwa tu, unaweza kupitishwa kwa kujuana tu, unaweza kuiba tu?
Takwimu zinaonesha Tanzania kuna mikoa ambayo literacy ipo around 75%.
Maana yake mtu mmoja kati ya wanne hajui kusoma na kuandika.
Na hao wanaojua kusoma na kuandika wengine tunawaona hapa JF hawajui logical thinking, hawajui critical thinking, hawajui abstract thinking. Na hata hao wanaojua kila mtu anajifikiria yeye na familia yake. Unaona mtu mpinzani mzuuri, Profesa mzuuri UDSM, anajua kubana watawala vizuuri, akipewa cheo anakuwa bonge la chawa wa watawala.
Ngoma yetu ngumu.
Hizo experience wengine zimewaletea matokeo mabaya, watu wamegeuka viumbe vya ajabu!Experience is a good teacher.
Kwenye maisha, kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uya experience wewe mwenyewe.
Kuna mambo unaweza ukawa unayaona kabisa ila unachukulia poa tu.
Lakini siku uki experience wewe mwenyewe. Hapo ndio utajifunza.
Well said!inawezekana tena vizuri tu wahenga walisema ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.
Wenye akili ndogo hawajifunzi chochote, wenye akili ya kawaida wanajifunza kutokana na makosa yao, wenye akili kubwa wanajifunza kutokana na makosa ya wengine.
Labda hard moments ndizo tunazipa attention kubwa, kwa maana kuna mambo madogomadogo tunayachukulia normal.Mara nyingi, mtu anazaliwa na tabia fulani ambazo ni asili yake. Lakini anavyozidi kukua, anaanza kubadilika taratibu kulingana na mazingira, watu wanaomzunguka, au matokeo ya mambo anayokutana nayo.
Ni kwanini maisha ya baadae yanatubadilisha wengi? Mtu anazaliwa mwenye upendo na huruma ila mahusiano na ndoa au watu wabaya wanamkomaza anakuwa na roho ngumu hata kuua anaweza!
Kwa mfano, mtu anaweza asiwe mtu wa mazoezi kabisa. Lakini kwa sababu anataka kuvutia kundi fulani la watu, anaamua kuanza kufanya mazoezi ili kujenga mwili au kuonekana mwenye lifestyle fulani.
Kwanini watu wanashindwa kuwa na hobbies zao wenyewe? Kwa nini mpaka waige maisha ili waonekane wanapenda kusoma, kusikiliza muziki, au kuangalia michezo?
Matokeo yake, unakuta binti au kijana anapofikia kiwango fulani, ili kufit kwenye jamii aliyopo, anaanza kuiga tabia mpya na za ajabu, mwishowe anaharibu maisha yake.
Hapo ndipo ninapojiuliza, hatuwezi kujifunza bila kupitia matokeo magumu? Kwa mfano, mtu anaweza kuugua au kukutana na changamoto fulani, ndipo tunapoanza kusikia ushauri kila kona ya mtandao: "Jamani, jitahidini kufanya 1, 2, 3, mnaona kilichotokea sehemu fulani."
Leo nimeona mada kuhusu trolls, wale wanaobully wenzao mitandaoni ikapelekea binti wa south kujiua ndioo ikageuka mjadala ili iwe funzo lakini nina uhakika hii sio mara ya kwanza, hii changamoto iko moka kwa wenzetu lakini kidogo wao wanabebana baadhi ya matatizo ya kujitakia yanapungua kwa asilimia fulani, ukilinganisha na hali yetu sisi! Tumeathirika na malezi ya utotoni au?
Ni kama taharuki iliyotokea wiki jana kuhusu wale mabinti waliomaliza shule. Ghafla kila mtu anatoa ushauri kuhusu malezi. Utadhani ni jambo geni kufanya malezi ili watoto wawe na tabia njema bila kusubiri matokeo mabaya ndio tujifunze?
Je, ni lazima tujifunze kwa njia ngumu kila wakati?
Kila mtu ni kiumbe wa ajabu wazimu wake ukimpanda.Hizo experience wengine zimewaketea matokeo mabaya, watu wamegeuka viumbe vya ajabu!
Absolutely!🙌🏾Sababu ni ndogo, ni mazingira na fikra. Waafrika tunaishi kama wanyama kimazingira, kimakuzi, namna tunavyowatazama wengine na kuchukuliana kama binadamu.
Utu na ustaarabu/kustaarabika ni vitu havipo kwenye mazingira yetu, na bahati mbaya hata kuiga au kujifunza kwenye jamii zingine tumeshashindwa.
Hivi huwa huo wazimu unajificha mpaka pale mtu atakapokutana na kitu cha kuamsha huo wazimu?Kila mtu ni kiumbe wa ajabu wazimu wake ukimpanda.
Ndio maana kuna mtu unaweza kuwa unamuona mpole, ana akili na heshima yake.
Halafu ghafla unashtukia amekuja kufanya tukio la ajabu sana.
Mpaka unasema, huyu si yule niliyekuwa namfahamu.