WCB wamepataje frequency Dar?

WCB wamepataje frequency Dar?

WCB wametisha kwa kupata izo code,inaonekana wamejipanga Sana,kuanzia shekeli na watu makini.
 
Hazijajaaaaaa zipo nyingi tu:

1. 88.9 FM
2. 90.5 FM
3. 90.9 FM
4. 92.1 FM
5. 92.5 FM
6. 93.3 FM
7. 94.1 FM
8. 94.9 FM
9. 99.7 FM
10. 100.1 FM
11. 100.9 FM
12. 102.9 FM
13. 104.9 FM
14. 106.1 FM
Nakumbuka TCRA waliwahi kusema DSM frequency zimejaa...
Wajuzi naomba ufafanuzi
 
Na frequency unaweza kuzinunua even 3 years before kuanza kurusha matangazo ni PESA yako tu
 
Ni lini walisema zimejaa?? Hizo habari za kuambiwa na mange muwe mnazichuja kwanza!
 
Back
Top Bottom