kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Chama kubwa la WCB Leo wameachia wimbo bora wa Kwangwaru wa kijana Chinga boy aliomshirikisha boss wake Diamond saa 10 jioni hii kupitia TV yao wa Wasafi.
Nyota yake Harmonize inazidi kung'aa. Kichupa hicho kitapandishwa hewani YouTube ifikapo jioni ya leo saa 12. Heko kwenu vijana wa WCB.
Nyota yake Harmonize inazidi kung'aa. Kichupa hicho kitapandishwa hewani YouTube ifikapo jioni ya leo saa 12. Heko kwenu vijana wa WCB.