Hivi huyu Ruge ana nini? Mwanzoni nilifikiri anaonewa, ila sasa ni too much.
Mbona anagombana na kila mtu mpaka mke wake yule mama watoto kabisa? Hua simuelewi halafu akigombana na mtu anataka ashuke. Anatumia ushawishi kwa media zake na CEO wengine kumzika mtu.
Si ajabu hata mtu mwenye watoto wake anataka kumuona akipata shida akisahau watoto wake ndio watateseka.
Japo sijawahi kua karibu nae lakini atakua na wivu wa maendeleo huyu jamaa.
Ifikie hatua sasa watanzania tuseme basi, kama ni kweli ana nia ya kumshusha Diamond na WCB nzima, nitakua tayari hata kuchangia any movement hili lisifanikiwe.