Wazushi mtandaoni. . .

Umeacha tabia ya ku-Like na ku-unlike?
Mie sasa hivi ratio ni 5 kwa 1
afu mtu akiniudhi au asiponisapoti
nina-unlike

Mi nipo tu... Likes hazitoki hivi hivi siku hizi. Lizzy hajakwambia? Siku hizi natoa like moja kwa mbili ninazo pokea... :)
 
Orayt then, ungefungulia uzi wako kwenye jukwaa "serious" la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki watu tungejua uko serious, lakini unapofungulia jukwaa la "masihara" Chit Chat........ hapa ni masihara tu!! Hapa ni kuchakachua tu! Siku nyingine unapoamua kuwa serious nenda kwenye majukwaa serious, sawasawa?

kwani mimi nimekwambia natafuta mpenzi hadi niende kwenye jukwaa la mapenzi?
 
Back
Top Bottom