Wazungusha mkono wanaisoma namba hadi bungeni

Wazungusha mkono wanaisoma namba hadi bungeni

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
13177432_1096623197068804_4004249683516019083_n.jpg


Wanajuta kwanini Mbowe alibadili gia angani na kupokea makapi ccm. Walidhani wamepata kumbe wamepatikana.
 
Toa magazeti ya kufungia samaki.
 
Namba wanaoisoma zaidi ni CCM walitegemea wataendelea kuila nchi lakini magufuli anawatumbua majipu
 
magazeti ya hivi na waandishi wa hivi mimi nikajua watapotea na Jakaya, kumbe bado wapo
 
Umeanza shift yako mapema,subiri wengine waamke waone una post tayari,watakuja kwa speed sana.
 
Back
Top Bottom