Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
Wakisha maliza Wanyama wetu sijuwi watakuja Afrika wazungu kuwatembelea akina nani?
..imetosha jamani inabidi tuamke...ukienda nchi zao ukaomba kibali hata cha kuwinda ng'ombe utaambina ni ukatili kwa wanyama...but they have the nerve to come to our countries and hunt our treasures....this should stop the soonest.Mkuu hii ishu sio illegal. Wanalipa na kupewa kibali cha kuua wanyama ndani ya himaya fulani. That being said, tatizo sio wao tatizo ni sisi kuruhusu huu mchezo, badala ya kulalamika tuziambie serikali zetu waache kutoa vibali na wazungu wataacha. Tatizo sio wao ni sisi
..imetosha jamani inabidi tuamke...ukienda nchi zao ukaomba kibali hata cha kuwinda ng'ombe utaambina ni ukatili kwa wanyama...but they have the nerve to come to our countries and hunt our treasures....this should stop the soonest.