Wazungu wana akili sana kwa kweli, Nimekubali!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hawa jamaa ni kweli kabisa kwamba wana akili kutuzidi tena kwa mbali sana tu, utakuja na theory zote mnazozijua lkn ukweli unabakia kuwa ukweli Wazungu wana akili klk sisi Waafrika!

Hebu angalia hili jambo kwa mfano Wazungu wameanzisha Mahakama ya ICC kwa ajili ya kushitaki Waafrika, ingawaje wanaiita Mahakama ya kimataifa lkn Dunia nzima inajua kwamba ni Mahakama ya kushughulikia watu weusi, sasa akili ya Mzungu iko wapi?

Katika kesi ambazo Waafrika wameshitakiwa ICC hakuna hata moja iliyofunguliwa na Mzungu, yaani ni waafrika wenyewe ndiyo waliokwenda kuwashitaki Waafrika wenzao kwa Mzungu, na kesi zote ambazo Mzungu ameamua kuzifwatilia ni zile ambazo ana maslahi ya moja kwa moja na hiyo nchi, na mwishowe mzungu alifanikiwa kufunga viongozi walioshitakiwa na Waafrika lkn bado hakuna Amani na Rasilimali zinaibiwa kila siku rejea Kongo, Sierra leone, Liberia, Kenya & Co.!

Kwa mfano leo hii AU wakisema wafungue Mahakama kama ya ICC labda Arusha kama hakuna Mzungu humo ndani hakuna Mwafrika atakayekwenda kumshitaki Kiongozi wake hata kama hiyo Mahakama ikifunguliwa na Wakorea Kusini au Wajapani kama Mzungu hayumo hakuna Mwafrika atakayekwenda kushitaki!

Hivyo Wazungu wanavyosema kwamba wakati wa Utumwa ni sisi wenyewe ndiyo tulikamata watu wetu na kuwakabidhi kwa wazungu na Waarabu, mimi naamini kabisa kwa 100%

Janja yote hii ku_calm down watu na kudhani ICC haitahusika kwa wale wataoleta hujuma katika uchaguzi mkuu.

Hata ukienda kushitaki ICC hakuna kitakachotokea kwa maana Mzungu hana Maslahi makubwa kiasi hicho hapa TanZania kuweza kuingilia, hilo liko wazi kabisa ila mimi nimeongelea kiujumla!
 
Acha propaganda zisizo na msingi.
Kwanza nani kakwambia mzuku anakili kuliko Mwafrika
Mbona unakuwa hujiamini wewe.
Afu unaonekana hata hiyo ICC huijui vizuri afu unaleta kupotosha watu humu ndani
 
Mahakama ya ICC ninailewa kulio unavyodhania! Na ni mahakama ya kushugulikia Waafrika tu au kwa kifupi Viongozi ambao hawakubaliani na matakwa ya Wazungu wa Magharibi, na ndiyo maana mpaka leo hii walioko Jela ukiondoa Slobodan Milošević wote ni Waafrika, ingawaje ICC inapokea kesi zaidi ya 100 ktk Dunia nzima, lkn katika hizo wanashughulikia za Waafrika tu tena wale ambao wazungu hawawataki!
 
Kwahiyo ni kesi ngapi ambazo zimepelekwa ICC ambazo zinahusu wa Africa?
 
Waafrika wenyewe ndiyo wanaopeleka kesi ICC na siyo Wazungu! Na mpaka sasa hivi ICC wameshapokea kesi zaidi ya 120 lkn walizoamua kuzishughulikia ni za watu weusi/Waafrika tu ingawaje viongozi wabaya wako wengi kuanzia Mynamar, Korea Kaskazini, Irak, Kolombia, Mexiko, Marekani n.k lkn wanachagua kule ambako wana maslahi nako binafsi ya moja kwa moja ndiyo wanaitumia ICC kuiondoa Serikali iliyo madarakani rejea Sudani, Kongo, Libya, Kenya, lkn siyo Rwanda, Uganda, Mali, Afrika ya Kati, Ethiopia, n.k

Hata ukienda kushitaki ICC hakuna kitakachotokea kwa maana Mzungu hana Maslahi makubwa kiasi hicho hapa TanZania kuweza kuingilia, hilo liko wazi kabisa ila mimi nimeongelea kiujumla!

Hilo linaweza kuwa namaana ya kuwa TANZANIA hakuna rasilimali inayoweza kutakiwa na wazungu?gesi,madini,wanyama ghali wanaotembea na viungo vyao ghali,misitu,mafuta yanayosadikika yapo
 
Wazungu hujitahidi kufuata sheria na kuepuka kukosea haki za binadamu
 
Waafrika wenyewe ndiyo wanaopeleka kesi ICC na siyo Wazungu! Na mpaka sasa hivi ICC wameshapokea kesi zaidi ya 120 lkn walizoamua kuzishughulikia ni za watu weusi/Waafrika tu ingawaje viongozi wabaya wako wengi kuanzia Mynamar, Korea Kaskazini, Irak, Colombia, Mexiko, Marekani n.k lkn wanachagua kule ambako wana maslahi nako binafsi ya moja kwa moja ndiyo wanaitumia ICC kuiondoa Serikali iliyo madarakani rejea Sudani, Kongo, Libya, Kenya, lkn siyo Rwanda, Uganda, Mali, Afrika ya Kati, Ethiopia, n.k

Sasa ndugu mbona una contradicts mwenyewe
Umesema wa Africa ndio wanapeleka Case ICC alafu leo hii unawalaumu wao.kwanini usiwalaume Wafrica wenyewe wanao peleka cases?
Umesema case zinashughulikiwa ni za waafrica tu!!Nawakati huohuo ulisema kuna case wa jamaa wa Serbia alishuhulikiwa. Sasa nashidwa kulewa unataka kusema ni nini zaidi kwasababu unajipinga mwenyewe.

Kingine umesema unaufahamu ICC vizuri sasa nashangaa umeitaja Marekani kuwepo ICC, Nafikiri USA haijajiunga na ICC. Kwahiyo nima doubt uwelewa wako wa hii mahakama nanina fikiri unaleta propaganda ambazo hazina maana

Kwahiyo em nitajie kiongozi wa africa ambaye kaenda ICC na hajafanya maovu ambayo wanashitaki?
 
Hawa jamaa ni kweli kabisa kwamba wana akili kutuzidi tena kwa mbali sana tu, utakuja na theory zote mnazozijua lkn ukweli unabakia kuwa ukweli Wazungu wana akili klk sisi Waafrika!

Hebu angalia hili jambo kwa mfano Wazungu wameanzisha Mahakama ya ICC kwa ajili ya kushitaki Waafrika, ingawaje wanaiita Mahakama ya kimataifa lkn Dunia nzima inajua kwamba ni Mahakama ya kushughulikia watu weusi, sasa akili ya Mzungu iko wapi?

Katika kesi ambazo Waafrika wameshitakiwa ICC hakuna hata moja iliyofunguliwa na Mzungu, yaani ni waafrika wenyewe ndiyo waliokwenda kuwashitaki Waafrika wenzao kwa Mzungu, na kesi zote ambazo Mzungu ameamua kuzifwatilia ni zile ambazo ana maslahi ya moja kwa moja na hiyo nchi, na mwishowe mzungu alifanikiwa kufunga viongozi walioshitakiwa na Waafrika lkn bado hakuna Amani na Rasilimali zinaibiwa kila siku rejea Kongo, Sierra leone, Liberia, Kenya & Co.!

Kwa mfano leo hii AU wakisema wafungue Mahakama kama ya ICC labda Arusha kama hakuna Mzungu humo ndani hakuna Mwafrika atakayekwenda kumshitaki Kiongozi wake hata kama hiyo Mahakama ikifunguliwa na Wakorea Kusini au Wajapani kama Mzungu hayumo hakuna Mwafrika atakayekwenda kushitaki!

Hivyo Wazungu wanavyosema kwamba wakati wa Utumwa ni sisi wenyewe ndiyo tulikamata watu wetu na kuwakabidhi kwa wazungu na Waarabu, mimi naamini kabisa kwa 100%

Mahakama ya ICC kuwepo ni Swadaktaa kabisa maana hebu fikiria viongozi wa nchi za Africa jinsi zilivyo za ajabu:
1. Mwangosi (Mwandishi wa Habari) kufumuliwa utumbo na polisi ..halafu kamanda aliyeamlisha hayo anapandishwa
cheo. Watu kutobolewa macho, makucha kutolewa na makoleo kisa tu wameipinga serekali na hamna anayekamatwa.
2. Raisi wa Sudan (BAshir) Kwa kutumia wanamgambo wa Janjaweed... kuwabaka, kuwaua na kuwafukuza na kuwaswaga wananchi wa nchi yake kwenda kufia jangwani ambako hakuna maji wala chakula.... Halafu anatetewana nchi za kiafrica hizo hizo.
3. Waasi kaa kina Ntaganda
Sasa Acha tu mahakama hii iwepo ifanye kazi yake. Tusipokuwa na Mahakama kama hizi si watu watabanikwa kama mshikaki live?
 
Ni kweli mkuu, wazungu wana akili sana, na hata hii ICC ni janja ya kututawala ila naomba fikra hizi za kusema ICC inahujumu watu weusi ianze kutumika baada ya uchaguzi kuisha na kuwepo kwa amani, maana ikiwa kuna kukomoana basi itakuwa vizuri ICC ikifanya kazi yake ili watu waridhike kuwa hawajakomolewa bali wamekomoana hata kama ICC ni mahakama inayoonekana kandamizi kwa watawala wa Afrika.
 
...Wazungu wameanzisha Mahakama ya ICC kwa ajili ya kushitaki Waafrika, ingawaje wanaiita Mahakama ya kimataifa lkn Dunia nzima inajua kwamba ni Mahakama ya kushughulikia watu weusi, ..
Hakuna hoja hapo. Nadhani umekurupuka kutoka mahali fulani

Back
Top Bottom