Ila hao ni warusi sio wazunguHuwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.
1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?
Mwengine akamjibu
2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.
Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
Ndio hao hao mkuuIla hao ni warusi sio wazungu
Poapoa nikajua kuna tofautiNdio hao hao mkuu
Huo ni utani ulioanzia Marekani kuwa weusi hawajui kuogelea ni kama vile wa wazungu wanavyotaniwa kuwa hawawezi kuruka (kucheza kikapu).Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.
1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?
Mwengine akamjibu
2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.
Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
OkHuo ni utani ulioanzia Marekani kuwa weusi hawajui kuogelea ni kama vile wa wazungu wanavyotaniwa kuwa hawawezi kuruka (kucheza kikapu).
Mabwawa ya kuogelea ni ghali kwa hiyo kihistoria weusi wengi hawakuwa na sehemu ya kujifunzia kuogelea, hivyo uogeleaji ukawa siyo mchezo unaopendwa sana na weusi wa Marekani. Kikapu kinapendwa sana kwakuwa huhitaji gharama kubwa kumuwekea mtoto goli kujifunza akiwa nyumbani.
Sasa huo utani umezoeleka kuwa weusi wote hawajui kuogelea na wengine wamekwenda mbali mpaka kuja na nadharia za mifupa mizito lakini siyo kweli kwa kuwa watoto wengi waliokulia pembezoni mwa maji mengi wanajua kuogelea.
lkn kama kuna kaukweli flani hivi,unakuta tu limtu jibaba zima eti linasema "mi naogopa maji" yaani mi huwa nakasirika balaa,unaogopaje maji???mtu mzima na akili zako kweli uogope maj[emoji87][emoji87]Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.
1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?
Mwengine akamjibu
2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.
Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
Duh. Ila kwelilkn kama kuna kaukweli flani hivi,unakuta tu limtu jibaba zima eti linasema "mi naogopa maji" yaani mi huwa nakasirika balaa,unaogopaje maji???mtu mzima na akili zako kweli uogope maj[emoji87][emoji87]
hhhhahaaaaaahhhh bora nicheke...we jamaa wewe hahahahahahhah!maji yanaua fast usituajze hapalkn kama kuna kaukweli flani hivi,unakuta tu limtu jibaba zima eti linasema "mi naogopa maji" yaani mi huwa nakasirika balaa,unaogopaje maji???mtu mzima na akili zako kweli uogope maj[emoji87][emoji87]
Ndio hao hao mkuu
Tofauti kubwa mno.Poapoa nikajua kuna tofauti
hakuna kisichoua mkuu,even sex inaua mbona hatuwasikii wakiiogopa???hhhhahaaaaaahhhh bora nicheke...we jamaa wewe hahahahahahhah!maji yanaua fast usituajze hapa
😛😛😛😛hakuna kisichoua mkuu,even sex inaua mbona hatuwasikii wakiiogopa???
Mziki wa maji unakufa uku unajionahhhhahaaaaaahhhh bora nicheke...we jamaa wewe hahahahahahhah!maji yanaua fast usituajze hapa
Kumbe bado mnauziwaga tu?Pamoja na polisi kung'oa mimea ya kutosha kumbe tatizo bado lipo!lkn kama kuna kaukweli flani hivi,unakuta tu limtu jibaba zima eti linasema "mi naogopa maji" yaani mi huwa nakasirika balaa,unaogopaje maji???mtu mzima na akili zako kweli uogope maj[emoji87][emoji87]
Mziki wa maji unakufa uku unajiona
Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.
1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?
Mwengine akamjibu
2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.
Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
Ila hao ni warusi sio wazungu