WAZUNGU SIO WATU WAZURI

WAZUNGU SIO WATU WAZURI

Mara nyingi tumekuwa wepesi wa kubeza na kuchekana

Hii tabia,itakuja kutugharimu siku 1

Adabu na Heshima,ni kitu muhimu sana kwa mwanaadam
Akikosa adabu,ni afadhali ya mnyama
 
Hicho kichwa cha habari mbona haieleweki?? Wanzungu kutokuwa watu wazuri inahusikaje hapo? Mbona wabongo kila siku tunakuwa na vichekesho tu? Tutasonga lini mbele?
Sio kwamba wewe ndo uko nyuma mkuu
 
Back
Top Bottom