WAZUNGU SIO WATU WAZURI

WAZUNGU SIO WATU WAZURI

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,311
Reaction score
109,517

Attachments

  • Screenshot_2018-12-14-18-43-37.jpg
    Screenshot_2018-12-14-18-43-37.jpg
    63.5 KB · Views: 119
  • download.jpg
    download.jpg
    12.1 KB · Views: 111
Hicho kichwa cha habari mbona haieleweki?? Wanzungu kutokuwa watu wazuri inahusikaje hapo? Mbona wabongo kila siku tunakuwa na vichekesho tu? Tutasonga lini mbele?
 
Mbona huyo samaki anafanana na nanihii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona mapichapicha tu!
Kwa Muhtasari,

Mjapani azua taharuki baada ya Kumchum Samaki mkubwa Sana Anayeitwa YERIKO

Amekua nae kwa takriban miaka 25,

Alimkuta Akiwa mdogo Hoi bin Taaban
Akamlea vema mpaka akawa na afya njema kama unavyomuona Hivi sasa AMENONA.



41C752F000000578-0-image-a-50_1498491978217.jpg
 
Back
Top Bottom