Mkuu Buji...hahahahahaah...kuna mshikaji wangu umenikumbusha...alikutana na msichana wakado sasa msichana alikuwa na mimba changa, next day alikuwa anaenda kwa Dr kucheki mambo...sasa Dr kucheck akamwambia yule dada wewe ulitaka kumuua mtoto..msichana kasema hamna..ikabidi dr aite wenzake ili waite Police, yule msichana akasema jana alilalwa na mwanaume, MaDr wakakataa kata kata, Alipotaja Ni Mweusi du walikosa amani,,,, sasa kasheshe ikaja kwenye uchunguzi kama ni kweli...mpelelezi wa kike Police kapewa isue na full anwani ya mjeba..kafanya mambo yake wakaseti meeting na jamaa, siku ya siku police kakutana na jamaa, unaambiwa Police alipigwa miti mpaka kufall in love kwa jamaa...unaambiwa ni noma....Upelelezi ukaisha lkn demu bado anataka kuliwa na jamaa tu