Wazungu kumbe nao wana michepuko

Wazungu kumbe nao wana michepuko

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,029
Reaction score
52,507
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
 
Kama ameshachwa ashukuru mungu ajue kua Rzki yake imekwisha,asijiudhi wala asijishushe thamani kwakutaka kumuaibisha mwengine,huo wanaoufanya hao watu ni uhasidi wa nyoka,kwani hata akiachwa huyo mdada yeye ana hakika gani ya kurudiwa na huyo bwana?
 
Anataka wakose wote....hahahaaa...
Kama ameshachwa ashukuru mungu ajue kua Rzki yake imekwisha,asijiudhi wala asijishushe thamani kwakutaka kumuaibisha mwengine,huo wanaoufanya hao watu ni uhasidi wa nyoka,kwani hata akiachwa huyo mdada yeye ana hakika gani ya kurudiwa na huyo bwana?
 
Mama wa mashauzi yanataka pesa, mama wa CL, mama wa Education is Sexy.
 
Ktk watu wenye mtindo mbaya wa maisha hasa ya kindoa/ mahusiano ni wazungu lkn kutokana na kupotoka kwa watu wengi wanaona mtindo wa kizungu dhalimu ndio unaofaa.

Kule jimbo la.minnesota US kulifanyika utafiti na mama mmoja jina nimelisahau mtaalam wa mambp ya kosaikolojia na familia, aligundua kuwa kila mwanaume alikuwa na watoto wawili au watatu nje ya ndoa, na ikagundulika kuwa ktk kila mwanamke asiye na ndoa lkn akawa na watoto zaidi ya mmoja basi asilimia 40% ni watoto wanaozaliwa ana baba tofauti.

Hii ina maana kwamba uchepukaji kulw ni swa la kawaida sana, wao hawaoi ndoa za wake wengi lk zile wanaitaga one nigjtstand ni njugu, mkwo anaensa kazini anapiga surprise eti ONE NiGHT STAND na watu wanaone ni kawaida tu.

Poor to the whites!!!
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
 
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Eti ninasikia huyo dada alishauri wasichana wanaotaka kuolewa na wanaume wenye pesa wahame Sinza, kwakua wanaume wenye pesa hawakai maeneo hayo, wahame Ubungo, wahame Boko, na pia Tandale kwa Mtogole wote wahamie Masaki na Oyterbay kwenye apartments. Huko ndio powe of p.....y inafanya kazi.
 
kumbe yule shemeji ni mchafuzi bna
 
Karma. Rafiki yako mwenyewe umesema alimuiba jamaa.

Anyway, hiyo "Utube" ulimaanisha youtube ama?
 
kumbe yule shemeji ni mchafuzi bna
Take my word yule mwanaume ni mstaarabu sana lakini pale either ameumizwa sana na Mange ameamua kama mbwai mbwai au anatafuta mtu angalau na yeye afurahi amechoka maisha ya maigizo.
 
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Mshauri rafiki yako atumie the power of p...sy Mange Kimambi alituletea formula.
 
Back
Top Bottom