Mh macho yana kazi kweli kweli .Ukaondoka na kufuta namba na kakiingereza Kako.Ulifanya vyema lakini maana sikuhiz ukijifanya mjuaji na tamaa nyingi .....kuliwa jicho ni chap
Asante sana....hongeraMh macho yana kazi kweli kweli .
Karibu sasa tule daku usiku huu
InterestingJana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.
Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.
Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
Haahaa🤣🤣Kama mzungu ni mwanaume jiandae mkuu
Haaahaa😂😂Ukaondoka na kufuta namba na kakiingereza Kako.Ulifanya vyema lakini maana sikuhiz ukijifanya mjuaji na tamaa nyingi .....kuliwa jicho ni chap
🤓Kwahiyo kumbe yule jamaa aliyekuwa anarudia sentesi mara sita sita, ni wewe nilikuwa nlikuwa nyuma yenu nawaftia kufanya Payment.
Atakua hataki kuongeza social capital 😊 😂🤓And the moral of your story is????
How does deleting his number make you independent??
Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.
Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.
Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
Kiinglish shida Jamani!!!!!Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.
Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.
Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
Very nice...Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.
Nikaona bora nimpishe alipie yeye kwanza then mi nifuatie, nikamwambia "Ohh you can pay first, I have got more stuff than you, hahaha (nilivunja mayai)." Mzungu akasema, "Thank so much, you are very kind for sure and sorry, what is your name?" Nikamjibu you can call me, got no name and I hate names, give me one.
Akaniambia, "From today your name is Unknown, hahaha," tukacheka akanipa namba ya simu nimpigie baadae. Alipoondoka tu nikaifuta, I'm an independent person.
Kama mzungu ni mwanaume jiandae mkuu
Ni wa kike au wa kiume?Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa amenunua mkate tu.