Habarini,
Natumia Dreamweaver cc na bootstrap v3.1.1, nataka kutengeneza "Carousel" lakini sipati option ya data-target, wala data-toggle, nimejaribu pia kutumia Bootstrap v3.2 Bootstrap v3.2 lakini nimekumbana na tatizo hilohilo.
Picha hapa chini ni jinsi nilivyo include files za bootstrap.
Mwenye ufahamu naomba anisaidia kunionesha ni wapi/kipi nakosea