Wazo zuri la biashara katika ufugaji

Ndo uwezo wako wa kuwaza umeshia?Hilo Pambana na hali yako ndo uwezo wako umekomea?

Usha wahi fuga hata njiwa? au unafugia Jamiiforum? nazani humu ndo kuna Banda lako la kuku.

Endelea kufuga basi soon utauza.
Sibishani na watoto wa kike kama ww
 
Wapee maneno matamu tu hizo hesabu kila mmoja angekuwa tajiri kwa kufuga kuku.

Ufugaji wa kuku sio rahisi kama mnavyo zania.

Hakuna mteremko kamwe hivyo usidanganye watu.

Na wasio jua wataingia kichwa kichwa.
 
Ahhahaa ndio maana wabongo tunaendelea kubaki masikini.......endele ivyo ivyo kuamini huwezi.


Et chakula tani 1.5 nyau weee
Sawa mie Nyau, Ila naimani hujui kifaranga chotara cha wiki moja, mbili, tatu na nne kina kula kiasi gani kwa siku alafu mara 3000. Na kama hujui kuanzia mwishoni mwa wiki ya 2 ulaji wa kifaranga huongezeka maradufu.

Hizi ndio hasara za kuajiri watu kwa matokeo ya nadharia.

Karibu kwenye ulimwengu wa vitendo mkuu.
 
Hawa ni wale wanaokariri wakipigwa maswali anapoteana.
Haina shida "ulimwengu ndio mama, jaymoo"
 
Jamani chondechonde hii game haihitaji kupanick hata kidogo, tuvumiliane,lazima tupate spana la sivyo hivi vyuma havitatuacha salama...Kwi kwi kwi kwi kwi kwi,arooo Jf patam Muraaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…