Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

To cut it short, hili siyo jukwaa la maoni kwa rais awaye yote! Anaweza kusoma au asisome. It's up to yeye!
 
Ww taaluma yako ni ipi???
Mm ni mtaalamu wa magonjwa ya akina mama

Kumkoma nyani geladi
 
Rais ni taasisi si lazima apitie kama yeye, idara yake ya habari ndio kazi yao kupita katika vyanzo vua habari na si JF tu.

Msolo[emoji769]
 
"Unasema tumsaidie kumpa ushauri rais..?
Rais mwenyewe anasema anataman siku moja ije aone mitandao ikifungwa.
Bashite kanunua jina na vyeti rais hajatambua hilo? au tumpe ushauri upi?
Ndani ya tanzania kuna tanzania mbili kama nchi tofauti
1. Nchi ya watu wasiojulikana
2. Nchi ya watu wanaojulikanaa
Hapa nashindwa kuelewa wewe bidada unaishi nchi ipi kati ya hizi
 
Umenena Mkuu!
Serikali ina Masikio na Macho Makubwa Na Mikono kila Sehemu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…