Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums


Nakupata vizuri, lakini kuna watu hawaelewi na hawataki kukosolewa. Hivyo hata ukiwa na nia nzuri watakutafuta wakushughulikie. Kule FB na Insta umekwisha sikia wanaoshughulikiwa hapa JF kuna kausalama lakini identity zikitoka kunaweza kua na kizaa zaa. Siwatetei wale wanaotaka kulumbana na serikali kwa lugha zisizo faa, lakini genuine advice kwa serikali isiyo sikivu inaweza kusomwa tofauti na wahusika na sababu wana madaraka yasiyo na "kikomo" mambo yanaweza kwenda kombo.
Leo umemsikia spika akimtishia Zitto. Kule kwetu twasema akumulikae mchana usiku......... Serikali hii imesha tuonya tusiijaribu na eti haiendeshwi kwa mtandao.
Kitu kama uchochezi au uzalendo mimi binafsi sipendi kuvisikia kwa sababu kwenye siasa zetu ni upande mmoja tu huamua nani ni mzalendo na nani ni mchochezi. Hivyo pamoja na nia yako nzuri hatuaminiani. Tutawaachia wale majasiri watumie label ya "verified user" katika kuikosoa au kuishauri serikali. Tuliobaki mchango wetu utakiwa nyuma ya key-board hata kama tutatumia lugha isiyo na ukakasi.
 

mkuu Bwanshe56 umeniquote mara tatu,ulitaka kusema nini?
 

tupo, uliza mada husika tutakujibu mkuu
 
mimi nashingilia ushindi wetu tuliopata jana pale darajani 6_0
 
Hivi mnakumbuka siku ya uchaguzi Jamii Forum ilikua under heavy technical attack hadi ikabidi tuhamie Facebook page


Yule atachukua ushauri gani humu
 
Kwa hiyo kudharau wasio verified users poa, kudharau wataalam verified users unapewa ban?
 
sio poa kila upande,

Acha utoto.
Utoto nimeleta mimi au wewe unayejua kwamba sio poa kila upande lakini umeandika upande mmoja tu?

Sentensi yako ulivyoiandika, kwa sisi tunaosoma neno kwa neno halafu tunapitisha sentensi kwenye logical truth tables kuangalia tautology, contradiction etc kisha kuzichorea Venn diagran kuangalia union, intersection, compliment etc, inaweza kutafsirika kama inaruhusu kudharau wasio verified users, ila verified users tu hao wataalamu ndio wasidharauliwe.

Halafu ujue unakataza dharau wakati wewe mwenyewe nimekuuliza swali valid umenidharau kwa kuniambia "acha utoto".

You are contradicting yourself.

Hutaki au unataka dharau?

Unachoandika na unachofanya tofauti.

Zilongwa mbali, zitendwa mbali.
 

Hehehehe,
Wewe mama umetumwa ???
 
Wapo watu wengi na vyombo vingi vinavyotoa ushaur kwa serikali. Sooo JF it cant be

Kumkoma nyani geladi
 

mmmmnh,

sitaki kuingia kwenye malumbano na wewe Al-Watan ,unajulikana kwa malumbano yasiyoisha,

unapick kitu kidogo sana then ndio unafanya,argument yako,

ningefurahi,kama ungekuja na mawazo tofauti,kama hili wazo linawezekana,ama haliwezekani,sio dharau sijui nini.......................mmmnh

besides,nishasema hao verified users wawatreat watu wengine humu with respect,na wao wapewe heshima yao pale inapobidi,

Atakayevunja sheria apewe ban kama kawaida,
 
Mkuu sidhani kama hata umenielewa,

Najua JF ni ya Great thinkers,

but hili nililopropose ni njia ya ku tap more educated greatthinkers,for the benefit of our society,

ni sawa na kupanga nguo;zile nyeupe unaziweka peke yake,za blue nk
Nafikiri JF ina members wengi wa kada mbalimbali, wengine wako kwenye taasisi na vitengo vya serikali, na ushauri unatolewa sana. JF ni jukwaa huru, serikali ikiona ushauri unaowafaa ichukue.

Msolo[emoji769]
 
Ushakubali kwamba kila mtu am treat kila mtu kwa respect, sio tu verified users wataalam, mjadala uliishia hapo.

Kwingine labda uuendeleze wewe.

Hata mimi sitaki kugombana nawe.

Najiandaa kwenda kuhiji sitaki kuharibu udhu wangu hivyoo, sawa?

Unaujua udhu wewe?
 
Huyo rais mwenyewe hana verified id humu sembuse sisi tuwezea wapi mambo ya kupimana mikojo nani anataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…