p diddy is wrong,home is home.OKADA ndio umechemsha kabisa DAR has more VOGUES then London,as a great thinker i expect you to tell us about INFANT MORTALITY,LIFE EXPECTANCY etc,etc haya mambo ya vogues waachie akina michuzi blogPdidy!
This is not a good spirit, turning people from their country. Why are you still in Tanzania? Kwani ni wewe unasema hayo na bado uko Bongo! Jamani, huko Ulaya kuna nini? Watu wanaokaa huko wana nini? We have more Vogues in Dar than in London! Wanajenga nchi za watu? Najua na ninakubaliana sana kwamba nchi yetu ina kila aina ya ujinga (kuanzia umeme, barabara, hosp, shule ... the list is endless), lakini hapa ndio kwao! Huko Majuuu wala hawatakuwa na amani ya kwenda kula nyma choma kule kinondoni kama Bongo! Wewe jaribu kenya tu uone askari wao watakavyokufanya! Hata ukipata kazi kesnya utaona jinsi wasivyopenda! Muulize Prof Tibaijuka!
Do you know what a capital;ist do to the working class (ambao wewe unataka wabakioe huko)! Just to leave a body and souls together to survive, so that you can produce for him! No wonder watu wa nje wakija bongo siku hizi wanabana ngenge, hawana mpya, kila kitu kipo hapa, tuna maisha mazuri pamoja na foleni, mafuriko na hata shida ya maji!!! hebu waombe hao jamaa zako wakutumie 500 usd uone kama wanayo! Zote wamelipia capitalists bills! At the end of the month, the bills are endless........ kisa, unapanda train ya umeme unayo keep time as opposed na Dar foleni!
Nenda uendako, home is best! Wapi kama Bongo!
Wapi kama Bongo!
Okada,happiness is just a state of mind,one can live on one meal a day and be happy-what makes someone in tanzania happy could have the opposite effects elsewhere.Again hata huyo mfanyakazi wa Tanzania anamfanyia kazi capitalist WHAT i am trying to say is it is totally wrong to compare countries the way u did cause dont forget Tanzania consumes more then she produces,the shortfall coming from the likes of London,watu ambao to u are an unhappy lotSon of Alaska (lucky you, mimi ni son of Mbamba Bay!!!!) Soma vizuri, nimesema kuwa Tanzania kuna kila aina ya ujinga... na nimeonyesha matatizo ya Dar, ambayo wewe hukutaka kuyaona, despite all those problems, we are happy kuliko yeye anayemfanyia kazi capitalist,! . Kusema Dar has more vogues than london .. I expected you to read between the lines..... kuwa hata yaliyoko London, na Dar yapo! This was just an example, and it is not static!
Jamani mbona unatutisha wenzio?
msirudi bana afadhali mubebe boksi huko huko lakini huku mkija mtapauka mpaka mtajishangaaa...Mhhh ila na huyo wa katikati mbona kakomaa sana yuko ulaya kweli huyo au alikuwa anapiga vitu kwa distance learning kaenda kwenye graduation tu...teeeh lakini hongera kwenu
p diddy is wrong,home is home.okada ndio umechemsha kabisa dar has more vogues then london,as a great thinker i expect you to tell us about infant mortality,life expectancy etc,etc haya mambo ya vogues waachie akina michuzi blog
Pdidy!
This is not a good spirit, turning people from their country. Why are you still in Tanzania? Kwani ni wewe unasema hayo na bado uko Bongo! Jamani, huko Ulaya kuna nini? Watu wanaokaa huko wana nini? We have more Vogues in Dar than in London! Wanajenga nchi za watu? Najua na ninakubaliana sana kwamba nchi yetu ina kila aina ya ujinga (kuanzia umeme, barabara, hosp, shule ... the list is endless), lakini hapa ndio kwao! Huko Majuuu wala hawatakuwa na amani ya kwenda kula nyma choma kule kinondoni kama Bongo! Wewe jaribu kenya tu uone askari wao watakavyokufanya! Hata ukipata kazi kesnya utaona jinsi wasivyopenda! Muulize Prof Tibaijuka!
Do you know what a capital;ist do to the working class (ambao wewe unataka wabakioe huko)! Just to leave a body and souls together to survive, so that you can produce for him! No wonder watu wa nje wakija bongo siku hizi wanabana ngenge, hawana mpya, kila kitu kipo hapa, tuna maisha mazuri pamoja na foleni, mafuriko na hata shida ya maji!!! hebu waombe hao jamaa zako wakutumie 500 usd uone kama wanayo! Zote wamelipia capitalists bills! At the end of the month, the bills are endless........ kisa, unapanda train ya umeme unayo keep time as opposed na Dar foleni!
Nenda uendako, home is best! Wapi kama Bongo!
Wapi kama Bongo!
'Urefu na ufupi ni kazi ya Mungu,kitambi ni juhudi zako mwenyewe'.Miss Pirate wambie wachangiaji wala hawana haja ya kubishana kwenye mada hii,signature yako jibu tosha!Sasa mtu akutumie dola 500 anayosotea jasho lake kwa nini? unapenda sana mteremko mtoto wa kiume
Napenda nchi yangu ila ya kijinga sana na daima itakuwa masikini. wewe laumu hao capitalist ila kodi na bili zote zinazolipwa unaona matunda na manufaa yake kwa wazawa hata hao wabeba box.
Na ukiiangalia dar es salaam ni tofauti na hali halisi ya tanzania kwa ujumla, nenda mtwara, lindi huko wapi sijui kigoma mwisho wa reli ndiyo utaijua vizuri nchi yako. achana na mambo ya kula nyama choma sijui kinondoni kazi kunenepeana hata afya hazijaliwi madai umeridhika na maisha. watu dar wametuna tuna utafikiri wanabugia hamira kila siku halafu kila kitu madili hata kitu ambacho ni haki yako kama mzawa.
Nchi ya kibwege sana
Mafuta ya gari hapa US ni $4.6 bei inatisha watu wengine wanaacha vibarua vyao manake hela yaishia kwenye mafuta. Mkuu nyumbani ni nyumbani. hapa US pia kupata kazi za professional labda uwe nurse vingine ni mabox mtindo mmoja ambapo mapato yote hushia kwenye malipo ya nyumba and other utilities. Maisha hata hapa sio lele mama zaidi ya watu wengi kula junk foodsiwatishi wapendwa kama mna ndugu zenu ulizen huku hali ya kazi shida mbaya mshahara utakaopata unamalizia kwenye matumizi yote mafuta ya gari 2208 be ya kikomo leo sasa sijui na nyie kubana nana na majasho kama mie mwenzenu sijui kama mtaweza..anyway siwakatazi unajua bora uamini MUNGU YUPO HATA USIPOMKUTA HAINA MADHARA KULIKO KUTOMWAMINI SIKU YA MWISHO UKAANZA WEEWE KUULIZWA MAKOSA YAKO ....UTATAMANI ARDHI ICHIMBIKE..WELCOME TO TANZANIA JAMANI MKIWA MNAKUJA TUJULISHEN HATA TUJE NA KAUA CHA KUWALIWAZA HATA MKIKAA MIEZI 6 BILA KAZI MNAKAKUMBUKA KAUA CHETU ...KILA LA KHERI TENA