Na watakaofundisha hilo somo wasiwe walimu ambao hawajawahi kufanya ujasiriamali
Inawezekanaje mtu aliyeshindwa kukifanya kitu akakupa uwezo wa kukifanya ilihali mwenyewe hana
Ndio wale wale wanaotuambia tujiajiri ila wao kutwa kubadili miaka ili waendelee kukaa ajirani