Wazo:Serikali itengeneze king'amuzi chake

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Mimi naona ni bora serikali ikawekeza ikawa ni king'amuzi chake ambacho kitakua cha gharama nafuu na cha kumudu kila mtanzania na ambacho kitaiingizia serikali mapato sana
Mbona wana TTCL? Basi mimi nawashauri wawekeze huko maana tusachoka na hivi ving'amuzi uchwara

Kingine:kama vipi serikali iruhusu makampuni ya ving'amuzi yawe mengi ili kuweza kujenga ushindani na kupata faida na ili vishuke bei
Mfano miaka ya nyuma simu zilikuwa chache lakini serikali iliporuhusu simu.kuingia nchini za kutosha leo hii kila mtu anamudu kuwa na simu kama walivyofanya.nchi nyingine kuruhusu makampuni ya ving'amuzi yawe mengi
 
Hivi serikali ilianzisha huduma gani wakafanikiwa kuisimamia kwa mafanikio?
 
Back
Top Bottom