Njooni tujifunze wotePoleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.
Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.
Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.
I have 15millions
Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.
Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.
Karibu tujadili.
Mpe hiyoZanzibar Kuna fursa moja ukiweka huoz mzigo ndani ya miezi miatu...utavimba kifua mbele.
Ushauri wangu utakua mfupi tu, wekeza hela yako kwny biashara unayo ijua vizuri nje ndani. Au wekeza kwny biashara yenye relation na biashara mama yako, itakupa urahisi sana kwny uendeshaji na ufatiliaji. Ni hivo tuPoleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.
Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.
Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.
I have 15millions
Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.
Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.
Karibu tujadili.
njoo kwenye biashara ya magari within 3months au 5 hela imerudi as profitPoleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.
Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.
Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.
I have 15millions
Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.
Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.
Karibu tujadili.
Unapenda kitongaNikopeshe hiyo hela yote kwa miezi 12. Nikurudishie milioni 22.
Zanzibar Kuna fursa moja ukiweka huoz mzigo ndani ya miezi miatu...utavimba kifua mbele.
Ngoja kwanza nimalizie kukamua every cent... Usimuamshe alielala, utalala wewe. [emoji16]mkuu hiyo fursa hua unajisifia tu mbona hua hutwambii? Zanzibar sio mbali hebu funguka
Ngoja kwanza nimalizie kukamua every cent... Usimuamshe alielala, utalala wewe. [emoji16]
we jamaa bana...mie nipo znz ebu tuhabarishane hiyo fursa..mana nna akiba hiyo ya mdau kwny akaunti yng.Zanzibar Kuna fursa moja ukiweka huoz mzigo ndani ya miezi miatu...utavimba kifua mbele.
Huu ni ubinafsi. Mtu amekubali faida ya 1/2 kwa 1/2 bado tu hutaki kushare naye hilo wazo lako?Nikopeshe hiyo hela yote kwa miezi 12. Nikurudishie milioni 22.