WAZO: Nafikiria kuandaa Mapokezi ya Mbunge Wetu(KAWE) siku atakaporudi Dar.

Mi pia na wazo kama hili. Niko musoma na arrange tuende kumpokea mbunge wetu jimboni. Hawa ni wanawake wa shoka c kama wale wakupewa kule mjengoni
Safi Sana Mkuu, Hebu anzisha Thread nyingine yenye heading kama hii ili kuwakusanya wanabunda wote... Kama Kuna lolote tuwasiliane ili kuorganise hizi event.. Pamoja Tunaweza.
 
Baada ya muwakilishi wetu kufukuzwa Bungeni na Mabwana Wale, Nimeona nivema Niandae Msafara wa waenda kwa Miguu na wenye Vyombo vya Moto utakaoanzia either Ubungo Mataa Au Bunju B pale darajani ikitegemea Shujaa wetu ataingia Dar Akitokea Upande gani.

Mimi kama Mwana-KAWE nimejihisi Ni kama vile tumefukuzwa wote, Ukifikiria Msingi wa kosa Alilolifanya Mbunge wetu pamoja na mwenzie (Bulaya) naona Kuna kila sababu ya kupinga uonevu uliofanywa dhidi yake na zaidi sisi wana-KAWE. basi naomba tujitokeze Kumpa Moyo Shujaa wetu.

Hivyo nitoe wito kwa wote ambao mmeguswa kwa tukio hili kwapamoja tuungane tumpokee MALKIA WA NGUVU, JASIRI, KICHWA, MCHACHAFYAGI, UNTOUCHOUBLE.

Nitawapa Updates jinsi ya kufanya.

Karibuni Sana Kawe Jimbo wanaloishi wabunge 75%.

Bashite amekisikia ngoja naye ajiandae
 
Yaani Halima Mdee ni zaidi ya wabunge 360 wa CCM.

Kama.wanaweza kumuogopa Halima basi CCM kuna shida.

Kama issue ni Kweli madini basi wasingewatoa wabunge Wapinzani Ika Kwa sababu hakuna cha maana kinachotafutwa zaidi ya kick za kisiasa nsiyo sababu wametolewa.

Hakuna cha JPM Mzalendo wala nini tunajaziwa.wananyarqanda na Maccm msiposhtuka leo mtakuja juta baadaye kama mlivyojuta ya madini hii ya wanyarwanda mtaijutia mara mia zaidi.

Tunaowajua wanyarwanda tunawaasa tuachaeni.hayo teteen Taifa SAA kabla hatujachelewa
Haya Mh. Mdee!! Basi njoo basi kwenye jimbo lako hali ya barabara ni mbaya sana utusaidi gari zetu zinaharibika sana.
 
Nimesema Ni kwetu sisi wana-KAWE, wewe wa Kongwa umefikaje hapa? Unafikiri tunaomba kirungu? Tunaogopa woga wenyewe Tu! We have nothing to fear than fear itself..
Acha uongo kwenye jimbo la Kawe haupo!!
 
Haya Mh. Mdee!! Basi njoo basi kwenye jimbo lako hali ya barabara ni mbaya sana utusaidi gari zetu zinaharibika sana.
Mdee ndiye anaetoa fungu la Barabara? Kura yenyewe hukupiga halafu unaleta uzwazwa hapa.
 
Haya Mh. Mdee!! Basi njoo basi kwenye jimbo lako hali ya barabara ni mbaya sana utusaidi gari zetu zinaharibika sana.

Kodi zetu anayepokea Mwenyekiti wa CCM na serikali ya CCM. Wakauza Madini yetu kwa kubadilishana na vyeo vya udirector kwenye makampuni ya dhahabu,tumeshindwa kuwaita hawawezi tunawaita wanaotetea maslahi mapana ya Taifa,acha tutawaliwe na wageni tu mpaka tupate akili
 
Back
Top Bottom