WAZO: Nafikiria kuandaa Mapokezi ya Mbunge Wetu(KAWE) siku atakaporudi Dar.

Haya Mh. Mdee!! Basi njoo basi kwenye jimbo lako hali ya barabara ni mbaya sana utusaidi gari zetu zinaharibika sana.

Hamia jimboni kwa spika na Mkuchika maana ndio waliomfukuza bungeni. Huko kwenye majimbo yao barabara ni kama za London. Hongera na wewe kwa kumiliki gari.
 
Tuko pamoja mkuu. Wap UKUTA. Mbowe tuletee ukuta wetu..huu ubabe sasa umepitiliza
Hivi inawezekana kuweka ubabe na mwanamke??? Basi wananume siku hizi adimu sana,, enzi zile mwanamke alikuwa anapewa viti maalum vya upendeleo siku hizi wanafukuzwa kabisa bungeni na wanawake wenzao wako kimya, wapi TAMWA???
 
Back
Top Bottom