Wazo lingine makazi kwenye basi

Wazo lingine makazi kwenye basi

ndio kama haya?
 

Attachments

  • house-made-of-8-containers.png
    house-made-of-8-containers.png
    189.2 KB · Views: 38
Kaka hiyo kitu marekani ipo tu sana inaitwa trailer parks ambayo ni rahisi na ndani inawekwa insulation kama mmoja wa jamaa alivyosema hapo angalia mfano huo kwenye link trailer homes parks in USA pictures - Recherche Google:

Halafu sasa ukitaka zile za kishua ambazo ni magari ya kina Winnebago ambayo makazi popote or zinaitwa RV ukiwa unakula raha wakati ukitaka kulala unalala popote hiyo link hapo winnebago pictures - Recherche Google:
Link zinanshinda mkuu, hazifikiki,
 
Acha kukariri mkuu. Sio LAZIMA uweke A/C. Wewe itakuwa ulitumia makontena kienyeji kama hayo wanayouzia pombe (Glosari) n.k.
Kuna kitu kinaitwa "Insulation" sijui kama umeshakisikia kwenye masuala ya ujenzi!?
Insulation hupunguza kwa kiwango kikubwa suala la joto katika Container kama sio kumaliza kabisa.
Najaribu kufikiria installation cost. Gharama isijekuwa sawa na kujenga nyumba. Hizo insulator zinapatikana kirahisi?
 
Najaribu kufikiria installation cost. Gharama isijekuwa sawa na kujenga nyumba. Hizo insulator zinapatikana kirahisi?
Gharama ya insulation ni rahisi kuliko unavyodhani mkuu. Zinapatikana katika maduka ya ujenzi makubwa kama Nabaki Afrika n.k.
Ila nakushauri tafuta wataalam wa ujenzi kwa ushauri zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom