Wazo lingine makazi kwenye basi

Wazo lingine makazi kwenye basi

T-future

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
544
Reaction score
284
Haloo,

Nashukuruni wana jf wenye mioyo myema mliotoa mchango katk mda yangu ya MAKAZI KWENYE CONTAINER.

concept ni ile ile,

Hapa nafikiria cost minimize na kuwa double adventure ,

NAZUNGUMZIA MAKAZI KWENYE BUS,

*MIN BUS
*SCHOOL BUS
*LAYLAND/DCM NK

Nataka kujua cost ya ku convert kontena kuwa makazi, au Bus, ipi nafuu?

Nimechunguza naona kama kuna kuwa natofauti ya bei na urahisi wa upatikanaji kati ya mabasi mabovu yanayoweza kubadilishwa kuwa makazi na mambo ya CONTAINER zenye kuhitaji vibali na ni bei kidogo kwa comparison zangu lakini.

Yani Basi linaeza kupunguza gharama za kutoboa toboa madirisha milango na vioo vipo, hata joto sio kivile.

Nijuzeni bei, japo mtu unaeza onekana mwehu hehhe...
Msinichoke,

Nipeni tena details
 
Hili ni wazo zuri sana ndugu wala usiwe na hofu ya kubezwa. Hizi nyumba (20ft - 40ft containers) za aina hii nilikutana nazo S.A miaka ya nyuma. Nilikuwa huko kikazi. Mwenyeji wangu alikuwa amejenga nyumba nzuri sana kwa kutumia shipping containers kwa sababu alikuwa anaishi Mji mwingine na familia yake na hapo alikuwa kikazi tu,so akaona ajenge kitu kama hicho (reasonable & affordable cost) away from home.

Kwa kweli nilivutiwa sana na jinsi muonekano wa mwisho na kitu kilichotoka. Ninazo picha, kama utaweza kuziweka njoo PM ili nikutumie uzibandike hapa ili wadau wengine wajionee.
Ni wazo zuri sana. Mimi nataka kujenga huko Rufiji na Mkuranga.
 
Huo uchoyo sasa zitume hapa hapa tuone wote achana na pm
 
Acha upumbavu! Ningekuwa mchoyo ningeandika hayo niliyoainisha hapa upenuni!?
Soma Uzi wangu mpaka mwisho na uelewe nini kilichoandikwa. Paragrafu ya pili mstari wa pili nimeeleza ya kwamba mimi nimeshindwa kuweka hizo picha hapa. Ndio maana nikamuambia aje PM nimtumie hizo picha kama ataweza yeye mleta mada aziweke hapa.
 
Wenzetu nje ya nchi wanaishi hata kwenye nyumba za bati tupu na MBAO japo najiuliza risasi inaweza penya kirahisi?
 
Inatokana na aina ya silaha inayotumika kutoa hiyo risasi na ukubwa wa risasi pia. Ila kwa nini umeenda mbali na kufikiria risasi mkuu!?
 
Acha upumbavu! Ningekuwa mchoyo ningeandika hayo niliyoainisha hapa upenuni!?
Soma Uzi wangu mpaka mwisho na uelewe nini kilichoandikwa. Paragrafu ya pili mstari wa pili nimeeleza ya kwamba mimi nimeshindwa kuweka hizo picha hapa. Ndio maana nikamuambia aje PM nimtumie hizo picha kama ataweza yeye mleta mada aziweke hapa.
Kwahiyo mkuu unanitukana sio ningoje kwako leo jioni ntakuja ili uone uliemtukana
 
Tatizo LA container lazima uweke A/C. Nimetumia sana haya makontena. Kwa umeme wa tz utapata shida
 
Acha kukariri mkuu. Sio LAZIMA uweke A/C. Wewe itakuwa ulitumia makontena kienyeji kama hayo wanayouzia pombe (Glosari) n.k.
Kuna kitu kinaitwa "Insulation" sijui kama umeshakisikia kwenye masuala ya ujenzi!?
Insulation hupunguza kwa kiwango kikubwa suala la joto katika Container kama sio kumaliza kabisa.
 
Hili ni wazo zuri sana ndugu wala usiwe na hofu ya kubezwa. Hizi nyumba (20ft - 40ft containers) za aina hii nilikutana nazo S.A miaka ya nyuma. Nilikuwa huko kikazi. Mwenyeji wangu alikuwa amejenga nyumba nzuri sana kwa kutumia shipping containers kwa sababu alikuwa anaishi Mji mwingine na familia yake na hapo alikuwa kikazi tu,so akaona ajenge kitu kama hicho (reasonable & affordable cost) away from home.

Kwa kweli nilivutiwa sana na jinsi muonekano wa mwisho na kitu kilichotoka. Ninazo picha, kama utaweza kuziweka njoo PM ili nikutumie uzibandike hapa ili wadau wengine wajionee.
Ni wazo zuri sana. Mimi nataka kujenga huko Rufiji na Mkuranga.
Asante sana ndugu, nitumie pm bhana
 
Acha upumbavu! Ningekuwa mchoyo ningeandika hayo niliyoainisha hapa upenuni!?
Soma Uzi wangu mpaka mwisho na uelewe nini kilichoandikwa. Paragrafu ya pili mstari wa pili nimeeleza ya kwamba mimi nimeshindwa kuweka hizo picha hapa. Ndio maana nikamuambia aje PM nimtumie hizo picha kama ataweza yeye mleta mada aziweke hapa.
Nitumie mkuu
 
Tulia wewee acha uchoyo ziweke hapa Na wengine tuone
 
Acha kukariri mkuu. Sio LAZIMA uweke A/C. Wewe itakuwa ulitumia makontena kienyeji kama hayo wanayouzia pombe (Glosari) n.k.
Kuna kitu kinaitwa "Insulation" sijui kama umeshakisikia kwenye masuala ya ujenzi!?
Insulation hupunguza kwa kiwango kikubwa suala la joto katika Container kama sio kumaliza kabisa.
Mkuu insulation ndo zip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom