wazo langu nionavyo mm...

wazo langu nionavyo mm...

pmwak

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Nikichoka huwa sipendi sana kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty CD! Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza, na wakati mwingine nina switch off Tv, ndipo naangalia, na hata meseji hua na delete ndo nasoma. Yani huwa sipendi kabisa kelele vip mwenzangu ukichoka huwa unafanyaje?. Tupia wazo lako...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
teh teh teh hata nyan awe mjanja vp hawez kudandia tawi la benki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom