Habari waungwana
Naitwa wazo langu
Nimeipenda sana jamii yenu nami nikatamani kuishi miongoni mwenu
Nimesoma ya wengi nami sasa ni wakati wangu nipate nafasi kutoa wazo langu.
Nawapenda kwa sababu "ninawafahamu" nimewasoma na kuwaelewa.
Naomba mnikaribishe
Mgeni wenu,
wazo langu.