Wakuu, heshima kwenu kwanza
Nahitaji kununua simu, ila kuna vigezo nataka vizingatiwe wakati wa kuinunua, vigezo hivyo ni :
1: OS ya android
2: Iwe na resolution kubwa yaani kuanzia 300ppi hadi 400ppi density
3: Ukubwa screen uanzie 4" hadi 4.5", ukizidi iwe 4.7" si mbaya
4: Toleo la OS lianzie android version 4.0 ICS up to current version 4.4 Kitkat
NB: Please usitoke nje ya mada, jaribu kuzingatia angalau hata kigezo kimoja hapo juu, pia itakuwa vizuri kama utaweka na bei ya hiyo simu