Wazo la mchana huu

Wazo la mchana huu

"Kama mapenzi ni pesa, kaolewe Bank"

Asante kwa ujumbe mzuri.

Ila ni kwa wa kike tu.

In this context, men walk scot free with heads up.
 
Sijui huyu naye kala maharage ya wapi......anawaya waya......nani aliyekuloga?
 
"Kama mapenzi ni pesa, kaolewe Bank"

Asante kwa ujumbe mzuri.

Ila ni kwa wa kike tu.

In this context, men walk scot free with heads up.

Mkuu najua Miss chaga atakuja kunishambulia hapa
 
Benki ina dushe?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Kama haya ndio mawazo yako ya mchana...boss wako amekula hasara kukuajiri.....
 
heheheeeeee huyu kaombwa hela mchana huu huyu..hili wazo sio la bure..tena mida ya lunch time..uwiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom