Wazo la leo................

hata ujue kukimbia vipi huwezi kukimbia shida
 
uwe na njaa vipi huwezi kunawa wakati wa kula rushwa
 
"hata uwe na njaa kali kiasi gani huwezi kula kiapo"
 
Wali wa maharage nao ni MSETO...
Ila hautibu MALERIA...
 
kama MAJI NI UHAI basi subiri uzame baharini ndo utajua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…