Wazo la leo!!!

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Usikimbilie kukua, omba kubalehe kifikra..
Cku njema wandugu!
 
Usikimbilie kukua, omba kubalehe kifikra..
Cku njema wandugu!

Hii inatakiwa kwenye jukwaa la watoto! Huku kwa wakubwa itakuwa imechelewa sana. Wameshapitia hayo mapito yote!
 
Hii inatakiwa kwenye jukwaa la watoto! Huku kwa wakubwa itakuwa imechelewa sana. Wameshapitia hayo mapito yote!

mkuu Filipo hujakutana na watu wazima wenye fikra za kipoyoyo bora hata na za mtoto wa nursery?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…