Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Hahahahahahahaha,wazo zuri..ndo la w/kend?!
hahahaha baby [MENTION]Asprin, Nicas mtei,Mentor,Kipipi[/MENTION] uwiiiiiiiii mjini shughuli
Hiyo 2 kwa hiyo sisi wa Far West ni Ancient tunaofaa kuwekwa Natural History Museum pale District of Columbia pamoja ni lijiskeleton la Diana sore?
Neno iyoooooo!
hahahahaaaaaaaa hivyo nawe Nicas Mtei ni mzee?!?!?
1-Urefu na ufupi ni Majaliwa ya Mungu ila Vitambi na Mimba ni juhudi zetu wenyewe.
2-Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu ni Baby
Hata Raila kuibiwa kura ni majaaliwa ya Mungu.
hahahaha baby Asprin, Nicas mtei,Mentor,Kipipi uwiiiiiiiii mjini shughuli
ipi sasa kati ya hizi?
1-Urefu na ufupi ni Majaliwa ya Mungu ila Vitambi na Mimba ni juhudi zetu wenyewe.
2-Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu ni Baby
Namba moja cha mtoto issue ni namba mbili.
namba 2 wala si inssue sana ukiwa na mbumba uzee unakimbia wenyewe, pigilia na black, mango piko ujana huo ila kwenye kupiga show mweee!!!