Wazo la leo-stamina

Wazo la leo-stamina

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
3,036
Reaction score
3,966
Hip hop celebrities wanazid kupata kile wanachotaka,baada ya trak kama 2030 sasa msanii mwingine hatari wa game hili STAMINA aka kabwela mwenye kitambi karelease hit huku ngosha tha don kasimama kwenye chorus,
Stamina kaandika Punch hatari na za kustaajabisha kama vile"life ngumu mpaka kidonda ombaomba kafanya mtaji"
wadau mnasemaje kuhusu ujio wa huyu kabwela
 
.......teh anakwambia"unaweza ukavaa kinga bado ukafa kwa uaminifu........unaweza ukawa shabiki wa simba na ukaishi mwembeyanga"
the young is so lyricist
 
sasa huu ndiyo mziki si style za flani na flani za kututajia majina. Wimbo huu umejaa ujumbe kwa kila mstari sema wanaopenda style za yule jamaa flani hawawezi uelewa maana hataji taji majina uandishi wenye ubunifu.
Fid q na stamina kula 5.
 
Ngoma ina beat kali sana,Majani iz bak..inabidi hawa maprodyuza wa siku izi wajifunze kitu kwa Majani uyu jamaa muziki wake na taste zake hazizeeki..mwaka huu unaweza kuwa mwaka wa Pfunk ana mikono ya hatari studio.
Pia ata Fid kampigia chorus kali sana uyo dogo kwenye iyo ngoma.
 
ukizingatia majan ni m1 wa maproduser hot waliochangia kusimamisha game la bongofleva liwepo hapa lilipo......wajipangheeeeeeeeee
 
Kama huu wimbo wa stamina ni mzuri basi bongo hamna wimbo mbaya!..huu ni wakati watu inabidi wamshauri stamina atunge na si kuchukua maneno katika bajaj,mafuso na daladala na kuyaunganisha kisha kuita wimbo
 
mie nimependa beat ya Majani kali sana,na chorus ya Fid..stamina sijawai na sijui kama itatokea nikamkubali.mie sipendi kusikiliza ngonjera.
 
mkuu embu tanabaisha vyema,mi nahisi ni mafuso na hizo bajaji usemazo ndo zinaandika hizo tungo baada ya kuzisikia toka kwa wasanii mbalimbali....au ujui ka msanii ni kioo cha jamii,so tungo ka izo za stamina zapokelewa kwa mitindo tofauti kwenye jamii kiasi wengine kuandika kwenye vyombo vyao vya usafiri nk
 
Yaani kuunga unga maneno ndo style ya wasanii wa kibongo sasa na wabongo wamekamatika kweli,na anae fananisha uandishi wa Stamina na Fid Q hajui muziki....maneno ya kwenye kanga ndo mnaita punch line....lame!!
 
watu wale wanaotaka mtu aropoke majina ya lowasa na chenge mwanzo mwisho hawajaelewa lolote wameacha 50 thousand miles nyuma wanadhani ngonjera hata hawajaelewa kijana kawambia nini.

Lyrics zinabidi ziwe zimejifunga ili kila mtu apate maana zaidi ya moja siyo ziwe directly kama nyimbo za akina ommy dimpoz. Ndiyo maana wimbo wa jay z wa forever young ulizua mijadala mtandaoni watu wakitoa maana tofauti kuhusu ni nini alikuwa anajaribu wambia na kila mtu aki quote mistari toka kwenye wimbo kusimamia point yake.
 
Kama huu wimbo wa stamina ni mzuri basi bongo hamna wimbo mbaya!..huu ni wakati watu inabidi wamshauri stamina atunge na si kuchukua maneno katika bajaj,mafuso na daladala na kuyaunganisha kisha kuita wimbo

sio kwamba maneno ya kwenye bajaj fuso na magari wanakopi na kupest toka kwa stamina
 
mie nimependa beat ya Majani kali sana,na chorus ya Fid..stamina sijawai na sijui kama itatokea nikamkubali.mie sipendi kusikiliza ngonjera.
Bab we unajua mziki!stamina mweupe hana jambo...sikiliza agano la kale alivyogaragazwa na chipukizi mwenzake suma mnazareti!....roma japo ni mweupe lakini sikiliza line yake inayosema!"Patcho naye ni mwamba japo anakata viuno"....mstari huu ni dongo kwa joh makini,mistari sawa na huu mpaka kiama stamina hawezi kutunga ataishia tu..natamani kula burger naishia viazi vya gairo
 
Ngoma ina beat kali sana,Majani iz bak..inabidi hawa maprodyuza wa siku izi wajifunze kitu kwa Majani uyu jamaa muziki wake na taste zake hazizeeki..mwaka huu unaweza kuwa mwaka wa Pfunk ana mikono ya hatari studio.
Pia ata Fid kampigia chorus kali sana uyo dogo kwenye iyo ngoma.

Hii track mashauri mazuri lakini hii beat PFunk amechemsha sio standard zake kabisa
 
Stamina noma kivyake na fid kivyake na roma kivyake wote wana vitu tofauti so msibishane hata mziki wenyewe hamjasomea vijana........
 
waungwana huu sio muda wa kushabikia hiphop mipasho.......tugeukie vijana ambao wanatunga punch ambazo zina effect ya moja kwa moja kwenye jamii...... mzinzi jenga kibanda cha angaza anza kutoa ushauri nasaha.......hilo ndo wazo la leo
 
mluguru we stamina si swahiba..........simkubali mpaka mwisho koz ana mistari ya kijanjajanja....bt coz ndo anaanza sio mbaya tukampa mda huenda mwisho wake ukawa mzuri
 
Back
Top Bottom