mie naona ujasiriamali usiohitaji cash bali nguvu zako na usmart wako ni kuwa mc tuu maana mike utatumia ya dj ukumbi utalipiwa na wenye sherehe na kula utakula humohumo sanasana sherehe ikiisha unaondoka na cash yako. Hapo mtaji wako ni sauti na ujue hadira yako ni watu wa namna gani na uwaburudisheje. Kazi ni kwako!!