Wazo kuu la leo tarehe 1 Oktoba, 2015

Wazo kuu la leo tarehe 1 Oktoba, 2015

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
477
Wawakala wote wa uchaguzi wa kila chama,waweke saini mbili kwenye fomu za majumuisho ya kura wakishahesabu.Au kama kuna nyaraka yeyote wanayotakiwa kusaini.Wasaini kwa mkono na pia waweke dole gumba.Hii itaondoa kugushi.Ukigushi saini ya mkono,huwezi kugushi dole gumba.
 
safiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaa inaonekana umeoteswa na mungu kamanda
 
Wazo zuri sana na likifanyiwa kazi CCM itaaga dunia
 
Kweli kabisa, kuwepo na saini pamoja na Dole gumba
 
Wawakala wote wa uchaguzi wa kila chama,waweke saini mbili kwenye fomu za majumuisho ya kura wakishahesabu.Au kama kuna nyaraka yeyote wanayotakiwa kusaini.Wasaini kwa mkono na pia waweke dole gumba.Hii itaondoa kugushi.Ukigushi saini ya mkono,huwezi kugushi dole gumba.

Ikifanikiwa hii lazima wasifu wa mtu usomwe tarehe 26, 'marehemu aliugua kwa muda mrefu na alikuwa akisumbuliwa na maradhi mbalimbali kama vile ufisadi........'
 
Wawakala wote wa uchaguzi wa kila chama,waweke saini mbili kwenye fomu za majumuisho ya kura wakishahesabu.Au kama kuna nyaraka yeyote wanayotakiwa kusaini.Wasaini kwa mkono na pia waweke dole gumba.Hii itaondoa kugushi.Ukigushi saini ya mkono,huwezi kugushi dole gumba.
Ikibidi zigongwe hata mihuri ya vyama husika.
 
Wawakala wote wa uchaguzi wa kila chama,waweke saini mbili kwenye fomu za majumuisho ya kura wakishahesabu.Au kama kuna nyaraka yeyote wanayotakiwa kusaini.Wasaini kwa mkono na pia waweke dole gumba.Hii itaondoa kugushi.Ukigushi saini ya mkono,huwezi kugushi dole gumba.

Wapinzani hawana kumbukumbu. mbona mnasumbua akili zenu. hamjuwi kwamba matokeo ya urais yakishatangazwa hayapingwi wala kuhojiwa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi. labda wabunge.
 
Wawakala wote wa uchaguzi wa kila chama,waweke saini mbili kwenye fomu za majumuisho ya kura wakishahesabu.Au kama kuna nyaraka yeyote wanayotakiwa kusaini.Wasaini kwa mkono na pia waweke dole gumba.Hii itaondoa kugushi.Ukigushi saini ya mkono,huwezi kugushi dole gumba.

As another level of control, hili lifanyike: wataalamu wa DNA wawe sehemu ya uhakiki huko fomu zitakapelekwa kwa ajili ya majumuisho ya kura. Kwamba kila fomu ichuliwe vipimo vya DNA kuonesha kama kweli iliwahi kuguswa na mawakala husika. Hivyo, vyama vianze kuwafundisha mawakala wao kutokubali kugusa karatasi ovyo wawapo vituoni maana wanaweza kugusa mitego ya magamba ikiwezekana wavae gloves isipokuwa wakati wa kusaini na kutia dole gumba ili waguse fomu. Hii itamaliza ubishi wote.

Uzuri wa mbinu hii ni kwamba ikitokea wakala amefariki hata ndugu zake wanaweza kutumika ku-verify DNA. Hivyo, combination ya dole gumba na DNA, wallahi ni Mwenyezi peke yake anayeweza kuipangua.

Kile kisa cha Rais Bill Clinton na Monica Lewinsky kimenikumbusha hii kitu.
 
Back
Top Bottom