Nafikiri labla hajatembea posta na Kariakoo.Faiza Foxy
Kwa Tz yetu, ukianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Huwezi kukosa watoto yatima.
Watoto yatima na wasio na ramani mtaani ni wengi sana. Ukianzisha kituo tu, watakuja wengi na wengine utawakataa.
Yawezekana ukawa sahihi ila ni kwa kiasi kidogo mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa kwani yule alieibiwa Songea huko akaenda kuuzwa Kilimanjaro kwa elfu thelathini 30,000/= ???????!!!!??
Wewe inakuingia akilini hiyo bei?Unashangaa kwani yule alieibiwa Songea huko akaenda kuuzwa Kilimanjaro kwa elfu thelathini 30,000/= ???????!!!!??
Kwa mujibu wa taarifa ya waliotangaza! Mkuu wewe ulitaka waseme aliuzwa milioni thelathini ili kila mtu ajitolee kufanya hiyo biashara?
Kwa mujibu wa taarifa ya waliotangaza! Mkuu wewe ulitaka waseme aliuzwa milioni thelathini ili kila mtu ajitolee kufanya hiyo biashara?
Ulichosema inawezekana. Swali, wanakuja wenyewe au wanaletwa? Ni yatima kweli?Faiza Foxy
Kwa Tz yetu, ukianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Huwezi kukosa watoto yatima.
Watoto yatima na wasio na ramani mtaani ni wengi sana. Ukianzisha kituo tu, watakuja wengi na wengine utawakataa.
Yawezekana ukawa sahihi ila ni kwa kiasi kidogo mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada anataka nini si suala liliopo. Suala ni jee, hakuna uwezekano wa hivi vituo kuwa na biashara haramu ya watoto wanaopotea?Kwa hiyo mleta mada anataka kusema hakuna watoto yatima au hataki tu?! Kama wapo yeye anapendekeza walelewe wapi?! Au anashauri wapatikane vipi hawa watoto?! Wafanyiwe interview kywabaini au DNA kuhakiki uyatima wao au nini mantiki ya hoja yake hapa?!
Hivi vituo ndio vinaiba watoto au vinaua wazazi ili kupata yatima kujiendesha?!
Nataka kujua mtoa mada anashauri yatima wapatikaneje na walelewe wapi na nani, na mwisho atuambie pesa zitoke wapi, ili kulinda watoto wasiibwe na hivi vituo?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada anataka nini si suala lililoiopo. Suala ni jee, hakuna uwezekano wa hivi vituo kuwa na biashara haramu ya watoto wanaopotea?
Sio kila taarifa inakua sahihi. Kwa akili ya kawaida tu, gharama ya kumsafirisha mtoto toka Songea mpaka Kilimanjaro ukijumuisha nauli na chakula sio chini ya laki.Kwa mujibu wa taarifa ya waliotangaza! Mkuu wewe ulitaka waseme aliuzwa milioni thelathini ili kila mtu ajitolee kufanya hiyo biashara?
Ulichosema inawezekana. Swali, wanakuja wenyewe au wanaletwa? Ni yatima kweli?