Wazo huru

Wazo huru

zungu santana

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
23
Reaction score
18
Tunapo waambia Ccm jambo waache ubishi wao wakijinga Tena wakome kabisaa.
Tuliwaambia huenda zoezi hili la bvr lisikamilike kulingana na ratiba wakabisha Waziri mkuu akabisha jensta Muhagama akabisha mama makinda nae akabisha
Sasa Leo lubuva kasema leo wamesha andikisha nusu tu ya watanzania wenye kustahiki kuandikishwa
Na mimi nawauliza tokea januari Sasa tuko katikati ya mwezi Wa saba ndo wamefikisha nusu weka miezi saba mingine zoezi litakamilika mwaka ujao kura tupige lini?
 
men lie, women lie but numbers dont lie
 
Back
Top Bottom