Wazo huru: Kuna haja ya Wizara ya Fedha kuongozwa na mfanyabiashara?

Utasikia waziri ni post ya kisiasa hakuna haja ya kuwa mtaalam/professional wa hiyo wizara. Kwamba kuna wataalam kama makatibu wakuu. Sijui Kitila Mkumbo ni mtaalam wa maji. Nadhani kwa sasa ni kwenda mbele tu, haiangaliwi sana professionalism.
Hivi Mtu kama Kitilla Mkumbo mtu wa kushika chaki na ukatibu mkuu wa wizara ya maji wapi na wapi ?
 
Mkuu vipi Conflicts of Interest kati yake na Biashara zake na TRA??
Asipolipa kodi, TRA ambayo iko chini yake watamkamata?
Wafanyabiashara wengi sana wakubwa hawana ugomvi wowote na TRA kwahiyo tukiangalia watu makini hakutakuwa na conflict of interest
 
Back
Top Bottom