Wazo: Dodoma ijengwe ziwa la kutengeneza ili watu waburudike na Serikali kuongeza mapato

Akili za mwisho wa mwaka hizi..naona unataka tufanye Kama Dubai..ila nimekusifu angalau umekumbuka kwamba tufanye kazi na tule Bata!
hakuna bata hapa ila kuna kuongeza mapato kupitia utalii wa ndani. inawezekana kuifanya dodoma dubai ya Tanzania
 
Hahahaaa just hahaaa .We mzee wa kuchimba mifereji unanitia mashaka. Mi nakushauri usome kwanza hata ile physics ya form I .eeehee huo mfereji wa dodoma hv umesema mnaupeleka wapi vile? Hahahaaa.
 
Ukiwa ccm hata vile vitu vya kipumbavu kabisa unahisi vinawezekana na utatunisha mishipa kuvitetea. Wee ni mjinga na msomi uchwara.
 
pia inaweza kurahisisha kilimo cha umwagiliaji kama maji hayo yatatibiwa na serikali kuanzisha kilimo kikubwa mno.

Utalimaje kwenye eneo la mapumziko au kipaumbele chako ni nini kati ya kupumzika na kilimo

mawazo yangu tu
 
Unafaa kuwa mshauri wa
JPM.
Ina weza kufikisha uchumi wakati.
hata yeye mwenyewe alisema kati kutamu, wa juu wote wanakutana kati , wa chini wote wanatamani kati.
 

Jiwe kasena jana Tanzania itakuwa kama Ulaya. Bila shaka wazo lako atalichukua maana kiakili hamjatofautiana.
 
That's nonsense. Kuna vitu muhimu vinatakiwa vifanywe kuliko hizo anasa. Miaka karibu 60 ya uhuru kilimo chetu bado ni kile kile cha akina Ibrahim na babu yake Nuhu wewe unawaza "Luxury". Very hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…