- Thread starter
- #61
hakuna bata hapa ila kuna kuongeza mapato kupitia utalii wa ndani. inawezekana kuifanya dodoma dubai ya TanzaniaAkili za mwisho wa mwaka hizi..naona unataka tufanye Kama Dubai..ila nimekusifu angalau umekumbuka kwamba tufanye kazi na tule Bata!